Kwanini Historia ya Wachagga inafichwa Sana?

Kwanini Historia ya Wachagga inafichwa Sana?

Kuhusu kuchapa kazi hilo ni la kweli kabisa, ni mfano wa kuigwa kwa hilo. Discipline, commitment, persistence na focus katika kutafuta pesa na maendeleo kwa ujumla ni sifa nzuri waliyonayo hawa jamaa. Jambo jingine wanathamini sana elimu, unaweza kukuta jamaa ni shoe-shiner au muuza supu ya makongoro lakini anasomesha watoto wake private schools hadi university!
Umeonaeeee !!!!, nakiona kitu kwa hawa jamaa, pia kaushirikiano wanacho pia. Kwetu sisi kuitana ka kukaa pamoja tu ni shida kila mtu anataka kuruka na bawa lake.
 
Hawa ni wakabila na wabaguzi wakubwa, wanasahau nchi hii hatuzungumzi makabila, sisi ni waTanzania na lugha yetu ni Swahili kwisha.

Mimi ni Msukuma tulio zaidi ya watu Milion 10 nchi hii, 16% ya waTanzania... Tukizungumzia ukabila itakuaje, wapuuzi tu hawa

Sent from my RMX2185 using JamiiForums mobile app
Bwana G-taxi sioni shida kuzungumzia kabila lao nafikiri aliwalenga watu wao labda. Umelipokea very negative sijui kwa nini? sio kila kitu lazima ukoment acha lipite. Kwenye forum huwezi kuchangia kila kitu utaoneka una chuki ambayo sioni kiini chake ni nini?.
 
Ukabila wenu tuliuona awamu ya 5. Hebu nyamaza kabisa na Mungu akusamehe.
 
Kweni wewe huoni alicho andika? Hata wewe umekuja na chuki zako za kikabila, fanya upite pembeni maana hata wewe basi hukupaswa kukoment hapa kwangu iwapo umeeona sikupaswa kument ktk kila mada, wewe umefata nini?

Sent from my RMX2185 using JamiiForums mobile app
 
Ukabila wenu tuliuona awamu ya 5. Hebu nyamaza kabisa na Mungu akusamehe.
We nyang'au nini? Kuna asiyejua ubaguzi wa kaskazini na hasa Kabila hili? Mimi nafanya kazi hapa Arusha miaka 11 sasa, nawajua vzr na wengine ni majirani zangu huko Mwanza nawajua vzr sana

Sent from my RMX2185 using JamiiForums mobile app
 
We nyang'au nini? Kuna asiyejua ubaguzi wa kaskazini na hasa Kabila hili? Mimi nafanya kazi hapa Arusha miaka 11 sasa, nawajua vzr na wengine ni majirani zangu huko Mwanza nawajua vzr sana

Sent from my RMX2185 using JamiiForums mobile app
Hii umesema wewe hapa JF, haipo katika uhalisia. Ubaguzi wa wasukuma a.k.a "sukuma gang" ulienea nchi nzima awamu ya tano, na wasukuma mkawa mnaneemeka na mema ya nchi kwa kodi zetu.
Hao unaowasema Arusha hata mimi napajua sana, ni wahangaikaji, na hata wakila mema huwa ni ya bidii zao wala siyo ya kupendelewa kwa kigezo cha eti "ni wapiga kura wangu". Hivi hamuoni aibu watu mmewaandama na kuwapiga vita kila mahali lakini bado wapo imara?
 
Mji wa Mwanza ni mkubwa kuliko Arusha,uliendelea Kwa kipindi cha JPM peke yake?jibu ni hapana kiasi useme hauna wahangaikaji?

Nina hakika huna akili, sina sababu ya kubishana na wewe
 
Mimi sijawahi kusikia chagga resistance kwa mkoloni Kama ilivyo kwa wanyamwezi na makabila mengine ya south walioamua kupambana na mkoloni direct
 
Wakuu nimewahi kusoma vizuri Historia ya Wachagga kwenye kitabu kimoja kilichoandikwa na Msweden mmoja, akimzungumzia vyema Mangi Marriale Obe II, na Binti aliyekuwa anaitwa Sia,
Aliyesome udaktari huko Sweden,

Pia inaonekana Mangi Marriale Obe II alikuwa msomi, na Hadi mwaka 1954 alikuwa anakaribia kuhitimisha kuomba uhuru wa Wachagga waliokuwa wamefika mbali kimaendeleo bila msaada wa Wazungu, hicho kitabu kinaeleza vizuri kuwa Gavana wa Uingereza kipindi hicho alikuwa hachangii chochote kwenye maendeleo ya Wachagga, hawa walikuwa wanakatwa kodi kutoka kwenye zao la kahawa.

Mipango ya kibajeti ilikuwa inawekwa vizuri sana kupitia kodi hizo na nyingine mbalimbali.

Kulikuwa na mfumo mzuri wa Elimu, pamoja na Miundo mbinu. Niliona bajeti kuu yao iliyochapishwa mwaka 1954.
Na kila mwaka walifanya mkutano mkuu wa Wachagga, uliokuwa unafanyikia Moshi...

Najiuliza ni kwanini Historia hii haisemwi popote katika utaratibu wa Mafundisho ya Historia!

Mkuu Malcom Lumumba nakupa copy hapa...na wanahistoria wengine
Naungana yule mzee Anayetuletea kucha taarifa hapa kuhusiana na ushiriki wa Waislam kwenye kupambania uhuru wetu lakini wakaenguliwa kwenye historia
 
Mji wa Mwanza ni mkubwa kuliko Arusha,uliendelea Kwa kipindi cha JPM peke yake?jibu ni hapana kiasi useme hauna wahangaikaji?

Nina hakika huna akili, sina sababu ya kubishana na wewe
Wahangaikaji wa Mwanza wametoka Moshi na Arusha kwa asilimia kubwa. Bisha.
Wewe ndiyo huna akili, pisha wenye akili waendelee kuchangia hoja.
 
Hawaendani na watanzania wengine kwa namna nyingi, wangepewa tu nchi yao. Kutwa kuonewa na lusemwa hovyo, hatuwaelewi tunabaki kuwasimanga.
 
Kweni wewe huoni alicho andika? Hata wewe umekuja na chuki zako za kikabila, fanya upite pembeni maana hata wewe basi hukupaswa kukoment hapa kwangu iwapo umeeona sikupaswa kument ktk kila mada, wewe umefata nini?

Sent from my RMX2185 using JamiiForums mobile app
Mhuu G-tax nimemaliza sina la kuongeza.
 
Elimu uliongelea hapa ni useless kama tunavyoina jamii nyingi baada ya kupata iyo elimu ndo tumejua ni ya kawaida sana, sema hao jamaa walikuwa na interaction kubwa na wazungu mpaka kuzaa nao .

Machief wengi kila mkoa wanazo tamaduni zao na elimu zao zilizowasaida kusurvive kutokana na mazingira husika hukuna historia unaweza kuitambua ya makabila yote mfano hata chief kimweri wa wasambaa huwezi kumjua alikuwaje? Tulia dunia ushamba wa elimu hiyo tumeona hamna kitu zaidi ya kujua kingereza kuingia serikalini na kuibia wananchi ,kuanzia vyama vya Sia's ili kupiga pesa za ruzuku hamna ubunifu wowote

Short and clear hamna elimu hapo ni trash 🗑️ kwa zama za sasa .kila kabila lilikuwa na elimu nenda kwa wamakonde walikuwa na ujuzi kutengeneza vinyago na kujichora kama Kinga kutichukuliwa na wakoloni

Nenda kwa wadigo hawakuwai kutawaliwa na wazungu watu walikuwa wanaojitambua tangu enzi izo na utaratibu ukitaka kubisha wakati mashamba ya mkonge Tanga wadigo ndo walikuwa viongozi wakubwa katika systems ya indirect rules ndo maana walikuwa wanajiona wajanja nyie sijui kigoma, mbeya, mara, Kilimanjaro sijui wapi huko mletwa kama wafanyakazi means mlikuwa ana control ya wadigo hawakufanyishwa kazi wao walikuwa vibaraka ndo maana mpaka nyerere anafika Tanga enzi za kudai uhuru alifundishwa ustaarabu alikuwa anaonekana mshamba wa kuja tu!!!

Unachotakiwa kuelewa hawakuwa na elimu kama unavyofikiria sema walikuwa karibu na wakoloni wakipata mbili tatu na pia walikuwa washaanza kubagua waafrica wenzao kwa vija zawadi vya kujengewa makanisa umenipata!!! Walikuwa ni obstacle katika kuunganisha Tanganyika kama unabisha hakuna resistance hata moja ilitokea huko.

Utakutana na abushiri pangani dhidi ya wajerumani...
Ingia usome utakuja nielewa nenda pale urithi Tanga vipo vitabu kibao vya Shaban Robert, na waandishi nguli wachana na vya kizungu wanaamua kupamba wamtakaea tafuta waandishi wa pan Africa.
 
Kwa sababu ndiyo kabila lisilopendeka sana hapa mjini
Bro hili ndio kabila na ku-copy na ku-paste kwa makabila mengine!
Wanajua kujituma
kuchapa kazi
sio wanafiki
sio waoga wa kazi yoyote yenye kipato
Wanajielewa
 
Short and clear hamna elimu hapo ni trash 🗑️ kwa zama za sasa .kila kabila lilikuwa na elimu nenda kwa wamakonde walikuwa na ujuzi kutengeneza vinyago na kujichora kama Kinga kutichukuliwa na wakoloni
Acha chuki za kifala wewe, hawa ndio walioweza kubadilisha elimu kuwa pesa elewa hilo!
 
Acha chuki za kifala wewe, hawa ndio walioweza kubadilisha elimu kuwa pesa elewa hilo!
Chuki zipi? Wapi nimeonyesha chuki eti elimu kuwa pesa mbona hatuoni leo ,wachaga sio elimu ni wafanya biashara wakubwa nimepinga rejea Uzi wa wakinga nimeandikaje hao ni wafanyabiashara wakubwa biashara zipo damuni ..wahaya mbona bukoka Pako vile kuwa na akili tahira mkubwa!!!
 
Wahangaikaji wa Mwanza wametoka Moshi na Arusha kwa asilimia kubwa. Bisha.
Wewe ndiyo huna akili, pisha wenye akili waendelee kuchangia hoja.
Wewe acha ujinga wako Nitajie tajiri mmoja tu kutoka Arusha au Moshi ambaye anatikisa Mwanza zaidi ya shoe shine wa kichagga na viduka uchwara vya mitaani. Uchumi wa Jiji hili umeshikwa na wanakanda ya ziwa wenyewe yaani wasukuma, wakurya na wahaya. Peleka huko uongo wako.
 
Pellleka ujinga kule! Kwendraaaaa!
Mkabila mkubwa. Kwahiyo hutaki wengine watajirikie huko Mwanza. Unataka niwataje ili ukawaue ulivyo na roho mbaya. Na wewe unatikisa huko Mwanza kwa lipi? Kwendraaaaaa! Peleka balaa!
 
Back
Top Bottom