Kwanini Historia ya Wachagga inafichwa Sana?

Mengine uliyosema ni kweli isipokuwa hilo la kwamba eti mkoloni alinywea kutokana na resistance ya wachagga na hivyo akawaruhusu kulima kahawa na kumiliki ardhi. Miongoni mwa makabila yote ya Tanganyika, wachagga ndiyo walioshindwa kabisa kuweka resistance yoyote ya maana dhidi ya mkoloni, na ndipo mkoloni aliposhinda kirahisi kutokana na mgawanyiko wao na kudharauliana wao kwa wao. Mkoloni aliwapa wachagga ruhusa ya kulima kahawa kwa sababu hiyo ndiyo ilikuwa njia rahisi zaidi kuwadhibiti kwa kucheza na akili zao. Wakoloni walipotaka kuchukua ardhi walijichukulia tu walivyotaka, ndiyo maana coffee plantations za wazungu zilikuwepo Kilimanjaro pia. Na hata wachagga walioruhusiwa kulima kahawa hawakufanya hivyo kwenye plantations, walilima kwenye vijishamba vyao vidogovidogo vya migomba milimani huko, divide and conquer ikaendelea!
Ha ha haaaa... Hivi ulishawahi kwenda uchagani!?
 
Hakuna kabila linaloitwa wameru hao unaowaona ni wachagga waliohamoa mlima meru wakitokea machame
Ni kweli hakuna kabila la wameru, wameru wamechanganyika kidogo na wamasai ila mila na desturi zao hazina tofauti na mila za kichaga hadi vyakula na mitazamo.
 
Wachagga, Wakinga, Wapemba na Wahindi ni makabila ya kuigwa. Ni watu ambao uwezo wao wa akili uko juu kuliko jamii nyingine za ki-tanzania.
Kuna kitu umekosea hapa..
Makabila hayo yote wanapenda kufanya biashara..

Sasa hicho sio kipimo cha akili...
 
Wakuu nimewahi kusoma vizuri Historia ya Wachagga kwenye kitabu kimoja kilichoandikwa na Msweden mmoja, akimzungumzia vyema Mangi Marriale Obe II, na Binti aliyekuwa anaitwa Sia,
Aliyesome udaktari huko Sweden,

Pia inaonekana Mangi Marriale Obe II alikuwa msomi, na Hadi mwaka 1954 alikuwa anakaribia kuhitimisha kuomba uhuru wa Wachagga waliokuwa wamefika mbali kimaendeleo bila msaada wa Wazungu, hicho kitabu kinaeleza vizuri kuwa Gavana wa Uingereza kipindi hicho alikuwa hachangii chochote kwenye maendeleo ya Wachagga, hawa walikuwa wanakatwa kodi kutoka kwenye zao la kahawa.

Mipango ya kibajeti ilikuwa inawekwa vizuri sana kupitia kodi hizo na nyingine mbalimbali,
Kulikuwa na mfumo mzuri wa Elimu, pamoja na Miundo mbinu.
Niliona bajeti kuu yao iliyochapishwa mwaka 1954.
Na kila mwaka walifanya mkutano mkuu wa Wachagga, uliokuwa unafanyikia Moshi...

Najiuliza ni kwanini Historia hii haisemwi popote katika utaratibu wa Mafundisho ya Historia!

Mkuu Malcom Lumumba nakupa copy hapa...na wanahistoria wengine
K

Hebu tuache ukabila humu

Kama ulikua hujui moja kati ya makabira yalio taka ukoloni uendelee ni wachaga...
 
Kuna kitu umekosea hapa..
Makabila hayo yote wanapenda kufanya biashara..

Sasa hicho sio kipimo cha akili...
Kama huna akili huwezi kufanya biashara na ukafanikiwa hasa kwa mazingira magumu na yasiyo rafiki kwa wafanyibiashara kama ya hapa tz. btw Hawa jamaa sio kwenye biashara tuu hata ukienda kwenye sekta binafsi bado waajiriwa wengi ni wao achilia mbali vyuo vikuu.
 
K
Hebu tuache ukabila humu

Kama ulikua hujui moja kati ya makabira yalio taka ukoloni uendelee ni wachaga...

Unakataa ukabila then una turnaround na kubwaga ukabila kwa wengine!

Proof ya hili huna!

Wala proof kwamba kabila lako wewe halikushiriki kuleta ukoloni pia huna!

Plus,kila kabila lina mazuri na mabaya yake!

Wewe kuona mapungufu kwa wenzako na wewe kwako kuna mapungufu pia!

Cha ajabu huenda umeoa Mchagga,who knows!
 
Pole..ila makabila ya kihistoria ni wahehe ambayo kweli walikua na uchungu na aridhi yao ni wahehe na wanyamwezi...
 
Ni kweli hakuna kabila la wameru, wameru wamechanganyika kidogo na wamasai ila mila na desturi zao hazina tofauti na mila za kichaga hadi vyakula na mitazamo.
Wameru ni Machame fulu.
 
Ha ha haaaa... Hivi ulishawahi kwenda uchagani!?
Siyo kwenda tu, nimeishi huko. Nawafahamu kama alfabeti. Ni petty opportunists, hakuna zaidi. Na wote wako hivyo, kila mmoja anatafuta kumzidi mwenzake kwa udi na uvumba, ndio chanzo cha machifu wao kusalitiana tangu zamani, ndio maana hata sasa hawaaminiani wao kwa wao hata baina ya ndugu. Na kamwe hawawezi kuwa na umoja.
 
..kwanza ni kwasababu wamesambaa Tanzania nzima.

..na kilichowafanya waondoke Uchaggani kwenda maeneo mengine ya Tz ni matatizo ya kijamii na kiuchumi huko kwao.

..kwa mfano,.watu wengi hawajui kwamba wafanya biashara wa mitaani " wamachinga " wa miaka ya 80 walikuwa ni vijana wa kichagga. Walikuja mijini na kuanza ndogo-ndogo kama kuchoma nyama, kukaanga chipsi, kushona na kusafisha viatu, kuuza vipodozi, etc etc

..jambo lingine ni siasa chafu ambazo zimekuwepo kwa muda mrefu hapa Tz. Siasa hizo ni zile za kutengeneza maadui feki ili kuhalalisha uzembe wa walioko madarakani.

..kwa mfano, kuna jamii na maeneo wanaaminishwa kwamba wako nyuma kimaendeleo kwasababu walikuwepo mawaziri toka Kilimanjaro ambao walipeleka maendeleo kwao na kuwanyima wengine fursa hiyo.

..maneno hayo anaweza kuambiwa mtu wa kusini mwa Tz. Lakini wakati huohuo tunajua kwamba sera za vijiji vya ujamaa ndiyo ilisambaratisha uchumi wa kusini na kuangusha kilimo cha korosho wakati Tz ilikuwa moja ya nchi zinazoongoza kwa uzalishaji duniani.
Sioni cha maana kinachotofautisha kusini na kaskazini. Zote masikini tu na zinahitaji more improvements.
 
Siyo kwenda tu, nimeishi huko. Nawafahamu kama alfabeti. Ni petty opportunists, hakuna zaidi. Na wote wako hivyo, kila mmoja anatafuta kumzidi mwenzake kwa udi na uvumba, ndio chanzo cha machifu wao kusalitiana tangu zamani, ndio maana hata sasa hawaaminiani wao kwa wao hata baina ya ndugu. Na kamwe hawawezi kuwa na umoja.
Bwana TYLER kuna kitu hukijui kwa hawa watu waache tu usionyeshe chuki. Ni historia yao waache wajadiliane sio kuonyesha husda na chuki.
 
Sina chuki mheshimiwa, nimesema ninachokijua tu na si zaidi.
Labda nikuongezee tu, kuna baadhi ya mambo mchagga anaweza kumuamini mtu wa mbali (wenyewe wanaita chasaka) kuliko mchagga mwenzake.
Na wewe chasaka ukitaka kujua ubaya wa mchagga fulani muulize mchagga mwingine, utapewa data kama zote na nyingine wanaongeza chumvi na pilipili. Humo ndani wana vikabila vidogovidogo na vyote vinajiona ni vijanjajanja, japo wenyewe ukiwauliza watakutajia nani mjanja kweli na nani "fala"!
 
Ha haa haa mbavu zangu nimecheka kwa sauti. Ila nawaona wanachapa kazi sana and dedication yaani from street to big business hilo tu ndio naona mengine kweli sijui.
 
Kuhusu kuchapa kazi hilo ni la kweli kabisa, ni mfano wa kuigwa kwa hilo. Discipline, commitment, persistence na focus katika kutafuta pesa na maendeleo kwa ujumla ni sifa nzuri waliyonayo hawa jamaa. Jambo jingine wanathamini sana elimu, unaweza kukuta jamaa ni shoe-shiner au muuza supu ya makongoro lakini anasomesha watoto wake private schools hadi university!
 
Wakuu nimewahi kusoma vizuri Historia ya Wachagga kwenye kitabu kimoja kilichoandikwa na Msweden mmoja, akimzungumzia vyema Mangi Marriale Obe II, na Binti aliyekuwa anaitwa Sia,
Aliyesome udaktari huko Sweden,

Pia inaonekana Mangi Marriale Obe II alikuwa msomi, na Hadi mwaka 1954 alikuwa anakaribia kuhitimisha kuomba uhuru wa Wachagga waliokuwa wamefika mbali kimaendeleo bila msaada wa Wazungu, hicho kitabu kinaeleza vizuri kuwa Gavana wa Uingereza kipindi hicho alikuwa hachangii chochote kwenye maendeleo ya Wachagga, hawa walikuwa wanakatwa kodi kutoka kwenye zao la kahawa.

Mipango ya kibajeti ilikuwa inawekwa vizuri sana kupitia kodi hizo na nyingine mbalimbali.

Kulikuwa na mfumo mzuri wa Elimu, pamoja na Miundo mbinu. Niliona bajeti kuu yao iliyochapishwa mwaka 1954.
Na kila mwaka walifanya mkutano mkuu wa Wachagga, uliokuwa unafanyikia Moshi...

Najiuliza ni kwanini Historia hii haisemwi popote katika utaratibu wa Mafundisho ya Historia!

Mkuu Malcom Lumumba nakupa copy hapa...na wanahistoria wengine
Ili iweje sasa, Tanzania hatuzungumzi makabila acha ufirauni wewe.... Ingekua tunazungumza makabila sisi waSukuma tungesimamisha nchi, Kaa kimya na ukabila wenu na ubinafsi

Sent from my RMX2185 using JamiiForums mobile app
 
Kwani nani anaificha na nani anatakiwa kuifichua.... Ni historia ya kabila gani ambayo iko wazi wazi ....ukisema sijui walikuwa wanaendesha mambo yao wenyewe hata sehemu nyingine walikuwa wanaendesha mambo yao wenyewe.....makabila zaidi ya 120 haiwezekani ukafubdisha kila kitu mashuleni...nyie wachaga kama mnaijua historia yenu muweke utaratibu mzuri wa kufundisha vizazi vyenu
Hawa ni wakabila na wabaguzi wakubwa, wanasahau nchi hii hatuzungumzi makabila, sisi ni waTanzania na lugha yetu ni Swahili kwisha.

Mimi ni Msukuma tulio zaidi ya watu Milion 10 nchi hii, 16% ya waTanzania... Tukizungumzia ukabila itakuaje, wapuuzi tu hawa

Sent from my RMX2185 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu nimewahi kusoma vizuri Historia ya Wachagga kwenye kitabu kimoja kilichoandikwa na Msweden mmoja, akimzungumzia vyema Mangi Marriale Obe II, na Binti aliyekuwa anaitwa Sia,
Aliyesome udaktari huko Sweden,

Pia inaonekana Mangi Marriale Obe II alikuwa msomi, na Hadi mwaka 1954 alikuwa anakaribia kuhitimisha kuomba uhuru wa Wachagga waliokuwa wamefika mbali kimaendeleo bila msaada wa Wazungu, hicho kitabu kinaeleza vizuri kuwa Gavana wa Uingereza kipindi hicho alikuwa hachangii chochote kwenye maendeleo ya Wachagga, hawa walikuwa wanakatwa kodi kutoka kwenye zao la kahawa.

Mipango ya kibajeti ilikuwa inawekwa vizuri sana kupitia kodi hizo na nyingine mbalimbali.

Kulikuwa na mfumo mzuri wa Elimu, pamoja na Miundo mbinu. Niliona bajeti kuu yao iliyochapishwa mwaka 1954.
Na kila mwaka walifanya mkutano mkuu wa Wachagga, uliokuwa unafanyikia Moshi...

Najiuliza ni kwanini Historia hii haisemwi popote katika utaratibu wa Mafundisho ya Historia!

Mkuu Malcom Lumumba nakupa copy hapa...na wanahistoria wengine
Ikiwa Historia ya nchi hailezwi vizuri itakua ya Wachaga mkuu
 
Back
Top Bottom