Kwanini Historia ya Wachagga inafichwa Sana?

Ha ha haaaa... Hivi ulishawahi kwenda uchagani!?
 
Hakuna kabila linaloitwa wameru hao unaowaona ni wachagga waliohamoa mlima meru wakitokea machame
Ni kweli hakuna kabila la wameru, wameru wamechanganyika kidogo na wamasai ila mila na desturi zao hazina tofauti na mila za kichaga hadi vyakula na mitazamo.
 
Wachagga, Wakinga, Wapemba na Wahindi ni makabila ya kuigwa. Ni watu ambao uwezo wao wa akili uko juu kuliko jamii nyingine za ki-tanzania.
Kuna kitu umekosea hapa..
Makabila hayo yote wanapenda kufanya biashara..

Sasa hicho sio kipimo cha akili...
 
K Hebu tuache ukabila humu

Kama ulikua hujui moja kati ya makabira yalio taka ukoloni uendelee ni wachaga...
 
Kuna kitu umekosea hapa..
Makabila hayo yote wanapenda kufanya biashara..

Sasa hicho sio kipimo cha akili...
Kama huna akili huwezi kufanya biashara na ukafanikiwa hasa kwa mazingira magumu na yasiyo rafiki kwa wafanyibiashara kama ya hapa tz. btw Hawa jamaa sio kwenye biashara tuu hata ukienda kwenye sekta binafsi bado waajiriwa wengi ni wao achilia mbali vyuo vikuu.
 
K
Hebu tuache ukabila humu

Kama ulikua hujui moja kati ya makabira yalio taka ukoloni uendelee ni wachaga...

Unakataa ukabila then una turnaround na kubwaga ukabila kwa wengine!

Proof ya hili huna!

Wala proof kwamba kabila lako wewe halikushiriki kuleta ukoloni pia huna!

Plus,kila kabila lina mazuri na mabaya yake!

Wewe kuona mapungufu kwa wenzako na wewe kwako kuna mapungufu pia!

Cha ajabu huenda umeoa Mchagga,who knows!
 
Pole..ila makabila ya kihistoria ni wahehe ambayo kweli walikua na uchungu na aridhi yao ni wahehe na wanyamwezi...
 
Ni kweli hakuna kabila la wameru, wameru wamechanganyika kidogo na wamasai ila mila na desturi zao hazina tofauti na mila za kichaga hadi vyakula na mitazamo.
Wameru ni Machame fulu.
 
Ha ha haaaa... Hivi ulishawahi kwenda uchagani!?
Siyo kwenda tu, nimeishi huko. Nawafahamu kama alfabeti. Ni petty opportunists, hakuna zaidi. Na wote wako hivyo, kila mmoja anatafuta kumzidi mwenzake kwa udi na uvumba, ndio chanzo cha machifu wao kusalitiana tangu zamani, ndio maana hata sasa hawaaminiani wao kwa wao hata baina ya ndugu. Na kamwe hawawezi kuwa na umoja.
 
Sioni cha maana kinachotofautisha kusini na kaskazini. Zote masikini tu na zinahitaji more improvements.
 
Sioni cha maana kinachotofautisha kusini na kaskazini. Zote masikini tu na zinahitaji more improvements.

..asante kwa maelezo yako.

..kuna propaganda chafu imeenezwa kwa muda mrefu dhidi ya wananchi wanaotokea kaskazini ya Tz.
 
Bwana TYLER kuna kitu hukijui kwa hawa watu waache tu usionyeshe chuki. Ni historia yao waache wajadiliane sio kuonyesha husda na chuki.
 
Bwana TYLER kuna kitu hukijui kwa hawa watu waache tu usionyeshe chuki. Ni historia yao waache wajadiliane sio kuonyesha husda na chuki.
Sina chuki mheshimiwa, nimesema ninachokijua tu na si zaidi.
Labda nikuongezee tu, kuna baadhi ya mambo mchagga anaweza kumuamini mtu wa mbali (wenyewe wanaita chasaka) kuliko mchagga mwenzake.
Na wewe chasaka ukitaka kujua ubaya wa mchagga fulani muulize mchagga mwingine, utapewa data kama zote na nyingine wanaongeza chumvi na pilipili. Humo ndani wana vikabila vidogovidogo na vyote vinajiona ni vijanjajanja, japo wenyewe ukiwauliza watakutajia nani mjanja kweli na nani "fala"!
 
Ha haa haa mbavu zangu nimecheka kwa sauti. Ila nawaona wanachapa kazi sana and dedication yaani from street to big business hilo tu ndio naona mengine kweli sijui.
 
Ha haa haa mbavu zangu nimecheka kwa sauti. Ila nawaona wanachapa kazi sana and dedication yaani from street to big business hilo tu ndio naona mengine kweli sijui.
Kuhusu kuchapa kazi hilo ni la kweli kabisa, ni mfano wa kuigwa kwa hilo. Discipline, commitment, persistence na focus katika kutafuta pesa na maendeleo kwa ujumla ni sifa nzuri waliyonayo hawa jamaa. Jambo jingine wanathamini sana elimu, unaweza kukuta jamaa ni shoe-shiner au muuza supu ya makongoro lakini anasomesha watoto wake private schools hadi university!
 
Ili iweje sasa, Tanzania hatuzungumzi makabila acha ufirauni wewe.... Ingekua tunazungumza makabila sisi waSukuma tungesimamisha nchi, Kaa kimya na ukabila wenu na ubinafsi

Sent from my RMX2185 using JamiiForums mobile app
 
Hawa ni wakabila na wabaguzi wakubwa, wanasahau nchi hii hatuzungumzi makabila, sisi ni waTanzania na lugha yetu ni Swahili kwisha.

Mimi ni Msukuma tulio zaidi ya watu Milion 10 nchi hii, 16% ya waTanzania... Tukizungumzia ukabila itakuaje, wapuuzi tu hawa

Sent from my RMX2185 using JamiiForums mobile app
 
Ikiwa Historia ya nchi hailezwi vizuri itakua ya Wachaga mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…