Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Huwa nalia sana nikiona hivi, naona kama niliponea chupuchupi tu, huenda ningekuwa natumika USA, mleta hizi picha usirudie tena kufanya hivi naweza kuua bila kukusudia.View attachment 342171 View attachment 342169 View attachment 342169View attachment 342170
Wachafu hasafishiki, heri walichinjwa 1964!
Ni bora ungekuwa mtumwa USA yawezekana waarabu wangekuuwa njiani kwa uvivu wakoHuwa nalia sana nikiona hivi, naona kama niliponea chupuchupi tu, huenda ningekuwa natumika USA, mleta hizi picha usirudie tena kufanya hivi naweza kuua bila kukusudia.
unawatetea sana waarabuLusungo,
Umewashutumu Waarabu.
Vipi kuhusu Wazungu?
Unayo elimu ya Transatlantic Slave Trade?
Aende tu akajifunze historia ya magogoni pale kigamboniMkuu acha kuzunguka mbuyu katika kuwatetea waarabu waliokuwa wafadhili wa utumwa.
Wafadhili wa utumwa hawatarudi tena Zanzibar wala pande hizi za Afrika.
Kama mzee Mandela alivyosema alipotoka gerezani na kupata urais wa Afrika Kusini....
Mandela , May 10th 1994
"Never, never and never again shall it be that this beautiful land will again experience the oppression of one by another and suffer the indignity of being the skunk of the world."
Zanzibar baada ya 1964........Never, and never again will the arabs be left to return.
Sorry wakati huu Camera ilikuwa bado kuvumbuliwa. Hizo picha zilipigwa na camera ipi?Huwa nalia sana nikiona hivi, naona kama niliponea chupuchupi tu, huenda ningekuwa natumika USA, mleta hizi picha usirudie tena kufanya hivi naweza kuua bila kukusudia.
Ulikuwepo? Hakuna mtu mshenzi Kama mtu mweusi. Hivi huoni wanayofanya CCM?Au hujawahi kubambikiwa kesi ukasota rumande. Huko utaanza kumjua nani mwafrikaAende tu akajifunze historia ya magogoni pale kigamboni
Hapo ndipo atawajuwa waarabu nao walikuwa watu wa aina gani
Wote wazungu,waarabu wamewafanyia mambo ya kikatili wafrika
Ova
Aende tu akajifunze historia ya magogoni pale kigamboni
Hapo ndipo atawajuwa waarabu nao walikuwa watu wa aina gani
Wote wazungu,waarabu wamewafanyia mambo ya kikatili wafrika
Ova
statues za mafarao wa misri zili jengwa km vile walivyo kabisaaa...nasema hayo ujue kuwa kulikuwa na wachoraji hatareee!! Wafinyanzi ni utachoka. ....kitu usicho kijua ni kuwa Duniani hakuna jipya yooote uyaonayo yalikuwepo...gharika ndo iliturudisha nyuma....hapa tulipo kimaendeleo hatujafikia hata nusu ya maendeleo ya kale. Vitu km pyramids.bermuda triangles nk. Ni vielelezo vya mifano ua maendeleo tuliyopiga kitambo muhimu mnoo. Sijui km unanielewaaaaa.....Sorry wakati huu Camera ilikuwa bado kuvumbuliwa. Hizo picha zilipigwa na camera ipi?
Nilivo Mkakasi bin mtata. Aseee? Wangeona kila nyota...hapo bongo nilikiwa na boss langu jinga jinga hivi!! lilinitishia kunikata mshahara....kulikomesha ili lijue nina hela zaidi ya hizo zake anazo nilingishia...kesho yake nilimwachia vumbi........panda ndege kwenda New zealand...mpaka leo sijarudi.....na mshahara mkubwa tu.....kila alipopiga simu alijibiwa na ksle ka sauti kale....Ni bora ungekuwa mtumwa USA yawezekana waarabu wangekuuwa njiani kwa uvivu wako
Mbona umekuja na jaziba , zile ni picha Za kuchora au Za kamera?au ni kazi ya mfinyanzi? ,tuwekee wazistatues za mafarao wa misri zili jengwa km vile walivyo kabisaaa...nasema hayo ujue kuwa kulikuwa na wachoraji hatareee!! Wafinyanzi ni utachoka. ....kitu usicho kijua ni kuwa Duniani hakuna jipya yooote uyaonayo yalikuwepo...gharika ndo iliturudisha nyuma....hapa tulipo kimaendeleo hatujafikia hata nusu ya maendeleo ya kale. Vitu km pyramids.bermuda triangles nk. Ni vielelezo vya mifano ua maendeleo tuliyopiga kitambo muhimu mnoo. Sijui km unanielewaaaaa.....
Ha ha kusema waarabu hawakuwa wema hakubadilishi pia Jambo la sisi kusema Kwamba wazungu pia Ni wakatili.Lusungo,
Umewashutumu Waarabu.
Vipi kuhusu Wazungu?
Unayo elimu ya Transatlantic Slave Trade?
Uko NZ mji gani? Wacha kujipakaziaNilivo Mkakasi bin mtata. Aseee? Wangeona kila nyota...hapo bongo nilikiwa na boss langu jinga jinga hivi!! lilinitishia kunikata mshahara....kulikomesha ili lijue nina hela zaidi ya hizo zake anazo nilingishia...kesho yake nilimwachia vumbi........panda ndege kwenda New zealand...mpaka leo sijarudi.....na mshahara mkubwa tu.....kila alipopiga simu alijibiwa na ksle ka sauti kale....
Mzee Mohamed Said ukipata muda unaweza kutuambia kuhusu mtu anayeitwa Ally Tambwe, je alikuwa nani hasa ? na upi mchango wake kwenye mapinduzi ya Zanzibar mpaka muungano ?KWA NINI HISTORIA YA ZANZIBAR YA KWELI HAISOMESHWI?
Mohamed Said Salum Bin Rawahy...kiasi cha mwaka mmoja hadi kufika leo tuliweka hadharani fikra za Prof. Ibrahim Noor kupitia kitabu chake ''Tanzania na Propaganda za Udini,'' ambayo kwa uhakika msomaji anakutana na matatizo yanayosababisha kushindwa kusomeshwa historia ya kweli ya Zanzibar. Matokeo yake zinasomeshwa ngano za madhila ya utumwa.
Warabu walkuwa madalali tu wao walkuw hawakai na kizibo[emoji16][emoji2357]Walikuwa wanachukuliwa huku kwetu, wanafika Zanzibar, baadhi wanabaki Zanzibar kwenye mashamba ya karafuu lakini wengi wanauzwa nchi zingine hasa za kiarabu,
Kwa Marekani wapo wengi sana tu na wameweza kuingiliana na races nyingine,
Ilikuwaje kwenye nchi za kiarabu ambako walikuwa wanapelekwa wengi zaidi hawapo, ama kama wapo ni nadra sana.
Wanapiga U-turn kuwa waarabu walikuwa madalali ili kuficha ukweli kuwa walikua wakiwa hasi na kuwaua.Walikuwa wanachukuliwa huku kwetu, wanafika Zanzibar, baadhi wanabaki Zanzibar kwenye mashamba ya karafuu lakini wengi wanauzwa nchi zingine hasa za kiarabu,
Kwa Marekani wapo wengi sana tu na wameweza kuingiliana na races nyingine,
Ilikuwaje kwenye nchi za kiarabu ambako walikuwa wanapelekwa wengi zaidi hawapo, ama kama wapo ni nadra sana.
We veepee? Huumwi? Nyani wajulishwe kuwa wametoka Congo juzi tu na waliletwa wauzwe na Tippu Tipp wakakosa soko?KWA NINI HISTORIA YA ZANZIBAR YA KWELI HAISOMESHWI?
Mohamed Said Salum Bin Rawahy...kiasi cha mwaka mmoja hadi kufika leo tuliweka hadharani fikra za Prof. Ibrahim Noor kupitia kitabu chake ''Tanzania na Propaganda za Udini,'' ambayo kwa uhakika msomaji anakutana na matatizo yanayosababisha kushindwa kusomeshwa historia ya kweli ya Zanzibar. Matokeo yake zinasomeshwa ngano za madhila ya utumwa.