Kwanini historia ya Zanzibar ya kweli haisomeshwi?

Mzee Mohamed Said, Kuna jambo moja ulilianza lakini tukaliachia njiani ambalo ni muhimu na ni bora wasomaji wakaelewa nalo ni muonekano wa mwarabu/waarabu dhidi ya wasio waarabu haswa waafrika ili kutowachanganya wasomaji. Waarabu kiasilia yao ni watu wenye ngozi nyeusi kama waafrika. Muonekano wao wa kiasilia upo jirani sana na wa kiafrika ukiondoa ujazo wa ndevu kwa wanaume na machache sana kama hayo. Ndio maana wakazi wote wa ulaya walikuwa wanawaita waarabu MOORS-WEUSI. Waarabu walioikalia Hispania ya sasa walikuwa ni wenye muonekano mweusi na hawa walikuwa waarabu halisia.

Lakini hebu tuwaangalie waarabu wakureishi hususan tuiangalie familia ya Mtume (saw) imeelezwaje;

A True Description of the Prophet Mohamed's Family (SAWS)


The term Sharif (nobleman) or Sayyid is used to describe a descendant of the Prophet Mohamed (SAWS) through his daughter Fatima (RAA). They are descendants of Al Hasan and Al Husein- the two sons of Ali ibn Abi Talib (RAA) and Fatima the daughter of the Prophet Mohamed (SAWS). The Prophet Mohamed (SAWS) and Ali ibn Abi Talib (RAA) are from the Bani Hashim branch of the tribe of Quraish. They are the noblest of the Arabs. The Prophet Mohamed (SAWS) and Ali ibn Abi Talib (RAA) were first cousins. Ali’s father, Abi Talib, was the brother of the Prophet’s (SAWS) father. Once it has been established that the Bani Hashim were a black-skinned people, there should be no need to prove that the pure Arabs of the past were, in general, a black-skinned people. In discussing the appearance of the Sharifs, I believe that it is appropriate for me to begin with the father of the Sharifs- Ali ibn Abi Talib (RAA). In his book Tarikh Al-Khulafaa (The History of the Caliphs), Imam Al-Suyuti described Ali ibn Abi Talib as follows:

و كان علي شيخا سمينا أصلع كثير الشعر ربعة إلى القصر عظيم البطن عظيم اللحية جدا قد ملأت ما بين منكبيه بيضاء كأنها قطن آدم شديد الأدمة

Ali was a heavyset, bald, hairy man of average height which leaned toward shortness. He had a large stomach and a large beard which filled all that was between his shoulders. His beard was white as if it was cotton and he was a black-skinned man.

source:Save the True Arabs: A True Description of the Prophet Mohamed's Family (SAWS)

Mzee Said, huyo ni Ali (ra) na alikuwa mweusi. Uzao wake wa hao wanaoitwa Masharifu ndio usiseme hata hapa Tanga ninaowajua ni kama mimi (mkuria). Wengi wa hawa Waarabu weupe weupe sana wamechanganya damu za Warumi Wagiriki na Persia kwa kule kuoa wasichana wengi tokea maeneo hayo walioletwa na ujakazi au utumwa na kama hayo. Misri na Lebanon ni mahali pazuri sana pa kutolea mifano. Linganisha hao walebanon au wamisri wa sasa na waarabu ambao hawajachanganya sana damu kama wa Sudan kaskazini au yemen. Mchanganyiko wa damu huu ulitapakaa sana wakati wa utawala wa Abassids na ndicho kipindi ambacho tunaona hawa machotara walianza hata kuwadharau waarabu asilia weusi. Kwenye hiyo article (Link) pia utasoma;

Nineth century poet Abu Al-Hasan Ali ibn Al-Abbas ibn Jurayj, known as Ibn Al-Rumi, wrote a long poem to the Abbasids blaming them for the way that they treated the family of the Prophet Mohamed (SAWS). It should be understood that at that time, the Abbasids had become very mixed with the Romans, Greeks, and Persians. Here is part of what Ibn Al-Rumi said in his famous poem called Al-Jeemia:

"You insulted them (the family of the Prophet Mohamed) because of their blackness while there are still pure-blooded black-skinned Arabs. However, you are blue (eyed) - the Romans have embellished your faces with their color."

Kwa hiyo muonekano mweusi huko Zenj sio tatizo Mzee Said, Waarabu siku zote were BLACK labda kwa asiyejua

 
Wickama,
Hii si mada yangu.
 
It is better to die than to live like a coward - imam hussein.
 
Wajue mashujaa wa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ambao hawajatajwa katika kufanikisha siku hiyo muhimu
Source: ARM TV
 
Unless you rank yourself so low, sioni moral justification ya kuutukuza utumwa wa waarabu au wa wazungu.
Naona ajabu namna ya kujadili "Waarabu" (wote???) au "Wazungu" (wote???), ilhali sehemu kubwa ya watumwa Waafrika waliuzwa na Waafrika kwa wafanyabiashara Waarabu na Wazungu. Sivyo? Vipi biashara wao?
 
Shekhe wabongo wanakujua vizuri. Wamekulamba mikono. Nimecheka sana[emoji38][emoji38]Haishangazi lakini. Nina hakika hata huko kenya na uganda hawakufahamu vizuri.
 
Mzee wangu upo vzr sana historia nami imenisaidia sana kwenye moja ya pepa zangu.. Ila tatizo udeen
Remote,
Mimi nina udini gani kuwashinda hawa?:





Soma sentensi ya mwisho ya ukurasa huu na utueleze nini kimesemwa.
 
Lusungo,
Umewashutumu Waarabu.
Vipi kuhusu Wazungu?

Unayo elimu ya Transatlantic Slave Trade?
Kwani Mkuu historia ya wazungu huku Africa haifundishwi!? Mbona na wazungu wanapondwa vibaya sana na hata mazuri yao yanafundishwa kama ni kitu kibaya!? wao walijenga shule, college, hospitali, madaraja, barabara na reli na bado vinpondwa vinaitwa tools for collonial Economy!! Hata wamissionary wanaitwa vitangulizi au maspy wa wakoloni na walitumika kuwa nyong'onyeza waafrica tena wanatumia verse za kwenye Bible.
 
Waliochinjwa ile 1964 kwenye yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar sio Waarabu bali ni Wanzanzibari, waliozaliwa Zanzibar na Kukulia Zanzibar. Mwarabu ni Sultan Sayyid Said aliyetoka Oman na kuhamishia sultanet yake Zanzibar ile mwaka 1832 hivyo masultan waliofuatia walizaliwa Zanzibar na kukulia Zanzibar hivyo ni Wazanzibari, hadi Sultan wa mwisho aliyepinduliwa alikuwa Mzanzibari.
P
 
Waarabu walifanya kweli vitendo vya kutweza utu wa mwafrika wala si propaganda!
It's true ni kweli
P
 
Kitendo cha waarabu kuwachukua mababu zetu utumwani ni cha kishenzi tofauti na ustaarabu.
Kutetea hali hiyo napata shida kumwitaje mtu kama Mohamed Said.
Naunga mkono hoja
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…