emmanuel mhecha
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 933
- 543
Katika movie ambazo nachek sana na kujaribu kupata uhalisiaOne of the best movie kwangu;
Escape from Sobibor.
Mleta mada, sorry nimevamia uzi kivyangu.
Ni story za uongo za watu wamagharibiWandugu,mwenye historia fupi ya huyu Hitler kwa nini aliwakata Waisrael,na Kule walienda wakitokea wapi, na Hitler akawafanyia vibaya na huenda hii ndio sababu hata Mungu akawabariki,usithubutu kumchokoza Netanyahu yule kiongozi wao yeye hata ajari kama kuna UN akiamua kupiga sehemu ni lazima apige tu au anakumbuka maumivu ya kizazi chake?
Story ya kweli inasemaje?Ni story za uongo za watu wamagharibi
Hakuwaua wala.nini. Russian ndio walikuwa wa kwanza kufika germany wakati wa vita na hawakukuta matanuru na kweny hayo.makambi ya wafungwa walikuta watu wenye afya tele wanafanya kazi za kulimaStory ya kweli inasemaje?
Ujerumani baada ya vita ya kwanza, uchumi ulidorora lakini wayahudi sababu walikuwa hawaruhusiwi kumiliki ardhi lakini waliweza kuwa na interectural career pamoja na kujiajiri walikuwa wanafanya vizuri kwenye kuuza madini, picha za kuchora na innovations nyingi. Wayahudi wengi ndo walikuwa wasomi wazuri mfano Einstein na wengine wengi hivyo Ingawa Hitler hakuwa mjerumani alikuwa mtu wa Austria aliweza kupata upenyo na kuweza kushinda na chama chake. Hitler alitaka kila mtu amchukie myahudi sababu siyo Caucasian na siyo Aryan yaani watu wenye rangi nyeupe, macho ya blue na nywele blonde ndo wateule waliokuwa wamechaguliwa na Hitler kuwa watatawala ulimwengu. Ndo maana kwenye olyimpic ya 1938? kuna mmarekani alishinda gold medal 4 lakini huyu bwana alikataa kumshika mkono na US ilitishiwa sana sababu ya kuwa na wanegro na wayahudi kwenye timu.Wandugu,mwenye historia fupi ya huyu Hitler kwa nini aliwakata Waisrael,na Kule walienda wakitokea wapi, na Hitler akawafanyia vibaya na huenda hii ndio sababu hata Mungu akawabariki,usithubutu kumchokoza Netanyahu yule kiongozi wao yeye hata ajari kama kuna UN akiamua kupiga sehemu ni lazima apige tu au anakumbuka maumivu ya kizazi chake?