Kwanini Hitler aliwakamata Waisrael, kuwafunga Sobibor, kuwatesa na kuwaua?

Ngoja ni concentrate kwanza,kumbe Wall Street ni ya muda!!
Sana
Unajua Jews ndio wana run hizi financial institutions ikitokea taifa linajitoa na mifumo yao ya wizi wana buni figisu figisu ili wapate sababu za kukuharibia.
Propaganda zao husambaza through media ambazo wao ndio wamiliki.
 
My email emma.mhecha@yahoo.com au. emheche@vodacom.co.tz
Nipe Historia yao hawa Jamaa nawakubali sana.
Nitakupa na wapi unaweza soma history yote. Kungekuwa na library Tz zipo up to date ningekwambia uende wapi. Mimi nilianza kusoma haya mambo toka nipo Primary in sixtees. shule niliyosoma ilikuwa na lib nikawa interested kusoma nilijifunza mengi kuhusu Holocaust na mateso ya manazi. Shule ilikuwa inaendeshwa na waholanzi. Sisemi wapi.
 
Hao wayahudi unaowaongelea wewe si hawa akina netanyahu & co
Samahani mimi nimemjibu mtoa hoja na naongelea kutokana na historia haya unayoyaongelea wewe ni yako. Am not a politician am just a person who love to read history and make research. I have even visited some of the sites of the atrocities where they happened just for completing my curiosity.
 
Nitakupa na wapi unaweza soma history yote. Kungekuwa na library Tz zipo up to date ningekwambia uende wapi. Mimi nilianza kusoma haya mambo toka nipo Primary in sixtees. shule niliyosoma ilikuwa na lib nikawa interested kusoma nilijifunza mengi kuhusu Holocaust na mateso ya manazi. Shule ilikuwa inaendeshwa na waholanzi. Sisemi wapi.
Shikamoo mjomba,
 
Samahani mimi nimemjibu mtoa hoja na naongelea kutokana na historia haya unayoyaongelea wewe ni yako. Am not a politician am just a person who love to read history and make research. I have even visited some of the sites of the atrocities where they happened just for completing my curiosity.
Shikamoo mjomba,bila samahani mjomba ila kwanini ufanye historia ya upande mmoja tu?hauna hata skepticism kidogo?tafuta kitabu 13th tribe uongeze maarifa uishughulishe na akili yako.
 
Samahani nilikuwa namjibu mleta mada na sikuwa natoa recture hivyo kama wewe unahitaji kuelezea zaidi au kutoa picha ya kwako, hii ni forum na ndiyo uwanja wake. Karibu.
 
Wandugu,mwenye historia fupi ya huyu Hitler kwa nini aliwakamata Waisrael,na Kule walienda wakitokea wapi, na Hitler akawafanyia vibaya na huenda hii ndio sababu hata Mungu akawabariki,usithubutu kumchokoza Netanyahu yule kiongozi wao yeye hata ajari kama kuna UN akiamua kupiga sehemu ni lazima apige tu au anakumbuka maumivu ya kizazi chake?
Tafautisha Israel Na Uyahudi
Uyahudi NI dini.Israel NI nchi.
Wa Israel (nchi) wako Wayahudi,Waislamu,Wakristo Na Wapagani.
 
Back
Top Bottom