Kwanini Hitler aliwakamata Waisrael, kuwafunga Sobibor, kuwatesa na kuwaua?

Kwanini Hitler aliwakamata Waisrael, kuwafunga Sobibor, kuwatesa na kuwaua?

Hakuna myahudi aliyeuliwa na Hitler,Wayahudi 6m alowatoa wapi kipindi hicho?na kwanza hao wanaojiita wayahudi wote ni Khazars kutokea ulaya mashariki.
 
Ujerumani baada ya vita ya kwanza, uchumi ulidorora lakini wayahudi sababu walikuwa hawaruhusiwi kumiliki ardhi lakini waliweza kuwa na interectural career pamoja na kujiajiri walikuwa wanafanya vizuri kwenye kuuza madini, picha za kuchora na innovations nyingi. Wayahudi wengi ndo walikuwa wasomi wazuri mfano Einstein na wengine wengi hivyo Ingawa Hitler hakuwa mjerumani alikuwa mtu wa Austria aliweza kupata upenyo na kuweza kushinda na chama chake. Hitler alitaka kila mtu amchukie myahudi sababu siyo Caucasian na siyo Aryan yaani watu wenye rangi nyeupe, macho ya blue na nywele blonde ndo wateule waliokuwa wamechaguliwa na Hitler kuwa watatawala ulimwengu. Ndo maana kwenye olyimpic ya 1938? kuna mmarekani alishinda gold medal 4 lakini huyu bwana alikataa kumshika mkono na US ilitishiwa sana sababu ya kuwa na wanegro na wayahudi kwenye timu.
Wayahudi wamekuwa wakimbizi wa kwanza duniani kabla ya kristo ndo maana ukisoma agano la kale unaona Joseph alivyolelewa Misri na vizazi vya wayahudi walivyotoroka toka misri Exodus. Ulaya nzima imejaa mazila ya wayahudi waliokimbia utumwa wa warumi, waarabu na baadaye mauaji ya kimbali ya manazi. Myahudi ni mtu ambaye ameweza kuweka ustaarabu wake kichwani pamoja na kukimbilia kila mahali duniani na ndo maana hata ukienda New York utafikiri upo Jerusalem. History ni ndefu sana ndugu google utawaelewa hawa watu wengine wapo Africa hata Zimbabwe wapo na wana rangi nyeusi kama sisi lakini ni Jews.
Hao wayahudi unaowaongelea wewe si hawa akina netanyahu & co
 
Wayahudi wana tabia moja mbaya sana na Hitler aliishtukia. Wana ubinafsi uliovuka mipaka wakihamia kwenye nchi yako watataka wao ndio wawe icons na kutambulika na pia kushika njia zote za siasa ,uchumi na biashara. Mbaya zaidi hawataki kuchanganya jamii yao na jamii iliyowakuta. Hitler akaona isiwe tabu akaanza kuwaua. Na kuwafukuza ujerumani.
 
Aliwauwa kwa sababu aliamini wao ndio walichangia ujerumani kushindwa katika WWI
Na huo ndio ukweli.fikiria Ujerumani inapigana vita Albert Einstein anatorokea na anashirikiana na Marekani kutengeneza nuclear bomb kumsaidia marekani na uingereza kushinda vita. Hapo yeye alizaliwa na kuishi ujerumani na wazazi wake. Ni wanafiki sana Hawa viumbe
 
Wandugu,mwenye historia fupi ya huyu Hitler kwa nini aliwakata Waisrael,na Kule walienda wakitokea wapi, na Hitler akawafanyia vibaya na huenda hii ndio sababu hata Mungu akawabariki,usithubutu kumchokoza Netanyahu yule kiongozi wao yeye hata ajari kama kuna UN akiamua kupiga sehemu ni lazima apige tu au anakumbuka maumivu ya kizazi chake?
Tatizo letu kubwa Waafrika ni ushirikina. Jambo tusilolielewa tunaamua ni uchawi au mapenzi ya Mungu. Uki-google maneno kama Jewish Exodus utapata majibu yote. Wayahudi wa kale siyo kitu kimoja na Waisraeli wa sasa. Nguvu za Israel ni utajiri na uthibiti wa nguvu za kifedha/kiuchumi duniani pamoja na kuiteka USA.
 
ukisoma kitabu cha escape from Sobibbor, mh! Ila ukiifuatilia vizuri biblia, historia yake ni kama zile za kuhamishiwa Babiloni na dayaspora ya mwaka 70 baada ya kifo cha Masihi mkuu. Ila kwa mjerumani alikuwa na hofu kuwa mwizraeli angeliwameza wajerumani. Na sote tunajua kuwa mjerumani ni mkabila au mbaguzi. hubagua hata wazungu wenzake. Naye ni kati ya waanzilishi wa bara la Amerika
Ubaguzi wa ujerumani ulichagizwa sana na enzi za vita ya dunia na hii ilisambazwa sana baada ya Hitler kuwaua wayahudi. Lakini amini nakwambia ujerumani ni sawa na mataifa mengine tu yenye baadhi ya watu wenye kuwa na Tabia ya ubaguzi wa rangi. Nyingi ni propaganda zilizoenezwa na maadui wa German. Kama ingekuwa ni hivyo kwa sasa tusingeshuhudia German kuwa kitovu cha kimbilio la wakimbizi kutoka middle east. Zaidi ya nchi yeyote ya Europe.
 
Hakuna myahudi aliyeuliwa na Hitler,Wayahudi 6m alowatoa wapi kipindi hicho?na kwanza hao wanaojiita wayahudi wote ni Khazars kutokea ulaya mashariki.
Hiki ni kitu kingine ambacho wengi hatukijui.
 
Wale jamaa now wapo.kama 9milioni. So kama hutler aliwaua 6milioni mwaka miaka ya 40+ nadhani wangetakiwa kuisha .....or kwa upande mwingine jamaa hawazaliani kabisa yaaani wameongezeka ileile 6 iliyopotezwa??
Kingine kuwaua na kuwakusanya watu mili 6 na uwaweke kwenye tanuru lazima uweze kuwatofautisha. Kama black n white.
Hivi ukimuangalia netanyau n mama angel.markel au bastian mchezaji wa man u je kuna tofauti kati yao?? Aliwatambuaje hawa jamaa??
Hutler alikuwa katili but nyingine ni chumvi tu za western pipo...hizi za kuua 6mil kwa matunuru ni.kamba na wakakoleza na movie ile ya escape from sobibo basi ikatukaa akilini kuwa ni.kweli
Siku zote kumbuka kuwa 'fiction is not reality'. Sinema ni maoni au muono wa mtengenezaji.
 
Hawakutoa ushirikiano katika ww1 so Germany Ikapigwa, Hitler akajiapiza kuwamaliza kwani aliona ni wasaliti wa nchi yake
Ubaguzi dhidi ya Wayahudi Ujerumani na Ulaya ulikuwepo miaka mingi sana kabla ya WW1. Ulikuwepo miaka mingi sana kabla hata ya Hitler kuzaliwa.

Kwa habari zaidi tafuta kitabu kinaitwa
"The Origins of The Final Solution: The Evolution of Nazi Jewish Policy, September 1939 -March 1942". Cha Christopher R. Browning. This is a comprehensive history of the holocaust. Kingine "The Rise and Fall of The Third Reich: A History of Nazi Germany". Cha William L. Shirer.

Every educated person interested in the subject should have the sad pleasure of reading at keast one of the two.

I have read both.
 
Hakuwaua wala.nini. Russian ndio walikuwa wa kwanza kufika germany wakati wa vita na hawakukuta matanuru na kweny hayo.makambi ya wafungwa walikuta watu wenye afya tele wanafanya kazi za kulima
Acha uongo wako. Picha za Awchwitz na makambi mengine zipo kibao. Wayahudi waliuawa ila hiyo takwimu ya milioni 6 kuna watu wanaitilia mashaka. Na utamaduni wa Wayahudi kujinadi kuwa wao ni watu tofauti, taifa teule la Mungu hivyo kustahili kutendewa tofauti na wengine husababisha wao kuchuliwa kila kona. Mpaka sasa kuna sheria za kimataifa ambazo wao hawazitambui na hakuna anayehoji.
 
Back
Top Bottom