Kwanini Hitler aliwakamata Waisrael, kuwafunga Sobibor, kuwatesa na kuwaua?

Wakati Izraeli wanayapata fizikale. tuliobakia tunayapata spirichuale. Ukisoma Isaya 54 kuna maneno...katika kitambo kidogo nalikuficha uso wangu... Ukiangalia kiroho kuna uhasama mkubwa kati ya mchawi na mcha Eloi. Na ukitetereka tu mchawi anakumaliza. wa kukutoa hapo mostly ukiondoa imani yako ni matibabu tu. Hospital/waganga wa jadi ambao wanapatikana dunia yote. ktk jamii zote.
 
Good Enough,Ahsante
 
Wakati wa Vita ya Kwanzaa ya dunia mwaka 1914-1918 wayahudi waliokua wanaishi Ujerumani hawakujiunga na mjerumani ktk iyo Vita.

Wayahudi waliohofia kupambana wakati huo kwani walikua wanadominate biashara mbalimbali, kumsapport ujerumani wakati wa Vita kungeharibu biashara zao.

Finally ujerumani anashindwa ktk Vita... ""ujerumani haijashindwa Vita kwa sababu ya udhaifu bali imeshindwa Vita kwa sababu ya usaliti wa wayahudi. Hitler akatangaza ku deal nao, inasemekana zaidi ya wayahudi million 6 waliuawa.
 
Hakuwaua wala.nini. Russian ndio walikuwa wa kwanza kufika germany wakati wa vita na hawakukuta matanuru na kweny hayo.makambi ya wafungwa walikuta watu wenye afya tele wanafanya kazi za kulima
Mi nnafanya kazi na wa Jews na wengi wao wanatumia volvo na sio BMW sababu vinu vya BMW ndio vilitumika kuwachoma moto.
 
Kama wa China , Korea , Japan na Vietnam wanatambuana, itakuwa Myahudi na Mjerumani !
 
na hiyo gharama na space ya kuwaua watu 6 m ilitoka wapi
 
Hitler alitaka kuimaliza kabisa hii jamii ya kiyahudi katika Europe ns unauliza kwa nini? Angalia USA sasa hivi ilivyo anaendesha nchi ni myahudi wakiingia nchini mwako wanakutawala bila kujijua
 
Daaaa.wonderful million 6
 
Ni kwa sababu Hitler alidhhani kila shida zake zimetokana na uwepo wa wayahudi.Yaani aliona wivu kwamba jamaa wanafanikiwa badala ya kujifunza kwao akaona ni bora wafe na yeye atakuwa kama wao.Nisichojua ni kama alifanikiwa au vipi.
 
Good, umeeleza vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…