kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Hebu nichek hiyo ya brad pittEscape from Sobibor, halafu kuna moja inaitwa Ingluorious Basters (kacheza Brad Pitt), sijui kwanini ilionesha chuki kati ya Germany na Jews.
Hao wayahudi unaowaongelea wewe si hawa akina netanyahu & coUjerumani baada ya vita ya kwanza, uchumi ulidorora lakini wayahudi sababu walikuwa hawaruhusiwi kumiliki ardhi lakini waliweza kuwa na interectural career pamoja na kujiajiri walikuwa wanafanya vizuri kwenye kuuza madini, picha za kuchora na innovations nyingi. Wayahudi wengi ndo walikuwa wasomi wazuri mfano Einstein na wengine wengi hivyo Ingawa Hitler hakuwa mjerumani alikuwa mtu wa Austria aliweza kupata upenyo na kuweza kushinda na chama chake. Hitler alitaka kila mtu amchukie myahudi sababu siyo Caucasian na siyo Aryan yaani watu wenye rangi nyeupe, macho ya blue na nywele blonde ndo wateule waliokuwa wamechaguliwa na Hitler kuwa watatawala ulimwengu. Ndo maana kwenye olyimpic ya 1938? kuna mmarekani alishinda gold medal 4 lakini huyu bwana alikataa kumshika mkono na US ilitishiwa sana sababu ya kuwa na wanegro na wayahudi kwenye timu.
Wayahudi wamekuwa wakimbizi wa kwanza duniani kabla ya kristo ndo maana ukisoma agano la kale unaona Joseph alivyolelewa Misri na vizazi vya wayahudi walivyotoroka toka misri Exodus. Ulaya nzima imejaa mazila ya wayahudi waliokimbia utumwa wa warumi, waarabu na baadaye mauaji ya kimbali ya manazi. Myahudi ni mtu ambaye ameweza kuweka ustaarabu wake kichwani pamoja na kukimbilia kila mahali duniani na ndo maana hata ukienda New York utafikiri upo Jerusalem. History ni ndefu sana ndugu google utawaelewa hawa watu wengine wapo Africa hata Zimbabwe wapo na wana rangi nyeusi kama sisi lakini ni Jews.
Kwenye King'amuzi cha Continental Chanel ya Star Cinema, huwa inawekwa karibu kila siku......Ilionyeshwa Azam tv juzi jumapili
Humu kuna watu wabishi balaaaa....kwahiyo unataka kusema hitler hakuwaua
Alikuwa anawatupia kwa mafungu kwenye tanuruna hiyo gharama na space ya kuwaua watu 6 m ilitoka wapi
Hitler hakuua mtu... Propaganda tu.
10 Reasons why Hitler was one of the Good Guys
Na huo ndio ukweli.fikiria Ujerumani inapigana vita Albert Einstein anatorokea na anashirikiana na Marekani kutengeneza nuclear bomb kumsaidia marekani na uingereza kushinda vita. Hapo yeye alizaliwa na kuishi ujerumani na wazazi wake. Ni wanafiki sana Hawa viumbeAliwauwa kwa sababu aliamini wao ndio walichangia ujerumani kushindwa katika WWI
Tatizo letu kubwa Waafrika ni ushirikina. Jambo tusilolielewa tunaamua ni uchawi au mapenzi ya Mungu. Uki-google maneno kama Jewish Exodus utapata majibu yote. Wayahudi wa kale siyo kitu kimoja na Waisraeli wa sasa. Nguvu za Israel ni utajiri na uthibiti wa nguvu za kifedha/kiuchumi duniani pamoja na kuiteka USA.Wandugu,mwenye historia fupi ya huyu Hitler kwa nini aliwakata Waisrael,na Kule walienda wakitokea wapi, na Hitler akawafanyia vibaya na huenda hii ndio sababu hata Mungu akawabariki,usithubutu kumchokoza Netanyahu yule kiongozi wao yeye hata ajari kama kuna UN akiamua kupiga sehemu ni lazima apige tu au anakumbuka maumivu ya kizazi chake?
Ubaguzi wa ujerumani ulichagizwa sana na enzi za vita ya dunia na hii ilisambazwa sana baada ya Hitler kuwaua wayahudi. Lakini amini nakwambia ujerumani ni sawa na mataifa mengine tu yenye baadhi ya watu wenye kuwa na Tabia ya ubaguzi wa rangi. Nyingi ni propaganda zilizoenezwa na maadui wa German. Kama ingekuwa ni hivyo kwa sasa tusingeshuhudia German kuwa kitovu cha kimbilio la wakimbizi kutoka middle east. Zaidi ya nchi yeyote ya Europe.ukisoma kitabu cha escape from Sobibbor, mh! Ila ukiifuatilia vizuri biblia, historia yake ni kama zile za kuhamishiwa Babiloni na dayaspora ya mwaka 70 baada ya kifo cha Masihi mkuu. Ila kwa mjerumani alikuwa na hofu kuwa mwizraeli angeliwameza wajerumani. Na sote tunajua kuwa mjerumani ni mkabila au mbaguzi. hubagua hata wazungu wenzake. Naye ni kati ya waanzilishi wa bara la Amerika
Unachanganyikiwa kivipi wewe tayari maisha yako yote umeaminishwa Hitler Mbaya.Mbona sasa mnatuchanganya nimesoma hizo reasons
Hiki ni kitu kingine ambacho wengi hatukijui.Hakuna myahudi aliyeuliwa na Hitler,Wayahudi 6m alowatoa wapi kipindi hicho?na kwanza hao wanaojiita wayahudi wote ni Khazars kutokea ulaya mashariki.
Siku zote kumbuka kuwa 'fiction is not reality'. Sinema ni maoni au muono wa mtengenezaji.Wale jamaa now wapo.kama 9milioni. So kama hutler aliwaua 6milioni mwaka miaka ya 40+ nadhani wangetakiwa kuisha .....or kwa upande mwingine jamaa hawazaliani kabisa yaaani wameongezeka ileile 6 iliyopotezwa??
Kingine kuwaua na kuwakusanya watu mili 6 na uwaweke kwenye tanuru lazima uweze kuwatofautisha. Kama black n white.
Hivi ukimuangalia netanyau n mama angel.markel au bastian mchezaji wa man u je kuna tofauti kati yao?? Aliwatambuaje hawa jamaa??
Hutler alikuwa katili but nyingine ni chumvi tu za western pipo...hizi za kuua 6mil kwa matunuru ni.kamba na wakakoleza na movie ile ya escape from sobibo basi ikatukaa akilini kuwa ni.kweli
Ubaguzi dhidi ya Wayahudi Ujerumani na Ulaya ulikuwepo miaka mingi sana kabla ya WW1. Ulikuwepo miaka mingi sana kabla hata ya Hitler kuzaliwa.Hawakutoa ushirikiano katika ww1 so Germany Ikapigwa, Hitler akajiapiza kuwamaliza kwani aliona ni wasaliti wa nchi yake
Acha uongo wako. Picha za Awchwitz na makambi mengine zipo kibao. Wayahudi waliuawa ila hiyo takwimu ya milioni 6 kuna watu wanaitilia mashaka. Na utamaduni wa Wayahudi kujinadi kuwa wao ni watu tofauti, taifa teule la Mungu hivyo kustahili kutendewa tofauti na wengine husababisha wao kuchuliwa kila kona. Mpaka sasa kuna sheria za kimataifa ambazo wao hawazitambui na hakuna anayehoji.Hakuwaua wala.nini. Russian ndio walikuwa wa kwanza kufika germany wakati wa vita na hawakukuta matanuru na kweny hayo.makambi ya wafungwa walikuta watu wenye afya tele wanafanya kazi za kulima
Ngoja ni concentrate kwanza,kumbe Wall Street ni ya muda!!Unachanganyikiwa kivipi wewe tayari maisha yako yote umeaminishwa Hitler Mbaya.
Hitler was a good guy...