Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wiki iliyopita, niliamua kutoka nje ya mji kidogo kwenda kujipumzisha.
Nilipofika huko, nikawa natafuta nyumba ya wageni iliyojificha, ili nipate utulivu wa kutafakari, maisha ya hapa duniani.
Kuulizia nafasi, zimejaa; nikaenda nyingine tena kama tatu, zimejaa; daah, nikatamani nirudi mjini.
Lakini baadaye nilifanikisha.
Swali: Kwanini hizi nyumba za wageni zilizopo nje ya mji, zinajaa haraka kuliko za mjini?