Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
[emoji1787][emoji1787]daahKilichokupeleka huko na wenzio kinawapeleka hichohicho,
Wazee wa chimbo.
Ni chimbo zuri hakuna wanga, pia hakuna aibuWiki iliyopita, niliamua kutoka nje ya mji kidogo kwenda kujipumzisha.
Nilipofika huko, nikawa natafuta nyumba ya wageni iliyojificha, ili nipate utulivu wa kutafakari, maisha ya hapa duniani.
Kuulizia nafasi, zimejaa; nikaenda nyingine tena kama tatu, zimejaa; daah, nikatamani nirudi mjini.
Lakini baadaye nilifanikisha.
Swali: Kwa nini hizi nyumba za wageni zilizopo nje ya mji, zinajaa haraka kuliko za mjini?
Nilienda kupumzika tu mkuuKilichokupeleka huko na wenzio kinawapeleka hichohicho,
Wazee wa chimbo.
Wake/waume za watu naona wengi wanakimbilia hukuNi chimbo zuri hakuna wanga, pia hakuna aibu
Na wenzio wanaenda kupumzika.Nilienda kupumzika tu mkuu
Inawezakuwa ndio sababuKatikati ya miji bei huwa za juu sana..pembezoni mwa miji bei ni ndogo pia hakuna wavimba macho wengi.
Wiki iliyopita, niliamua kutoka nje ya mji kidogo kwenda kujipumzisha.
Nilipofika huko, nikawa natafuta nyumba ya wageni iliyojificha, ili nipate utulivu wa kutafakari, maisha ya hapa duniani.
Kuulizia nafasi, zimejaa; nikaenda nyingine tena kama tatu, zimejaa; daah, nikatamani nirudi mjini.
Lakini baadaye nilifanikisha.
Swali: Kwa nini hizi nyumba za wageni zilizopo nje ya mji, zinajaa haraka kuliko za mjini?
Jibu konkiiii..thread ifungweKilichokupeleka huko na wenzio kinawapeleka hichohicho,
Wazee wa chimbo.
Ulienda kufuata Nini UkoWiki iliyopita, niliamua kutoka nje ya mji kidogo kwenda kujipumzisha.
Nilipofika huko, nikawa natafuta nyumba ya wageni iliyojificha, ili nipate utulivu wa kutafakari, maisha ya hapa duniani.
Kuulizia nafasi, zimejaa; nikaenda nyingine tena kama tatu, zimejaa; daah, nikatamani nirudi mjini.
Lakini baadaye nilifanikisha.
Swali: Kwa nini hizi nyumba za wageni zilizopo nje ya mji, zinajaa haraka kuliko za mjini?
Utalii wa ndani mkuuUlienda kufuata Nini Uko
Kwa nini waende kujificha huko mbali?Watu hawataki kuonekana mjini msala!
Guest nyingi wanaojaa humo hua sio wageni, ni wenyeji na ungechunguza vizuri unaeza kuta wengi wanaingia asubuhi na kutoka jioni. Wake/waume za watu ndio mbinu zetu hizo..Kwa nini waende kujificha huko mbali?