Kwanini Hospitali ya St. Benedict, Ndanda, Mtwara huuliza wateja dini zao?

Siyo Ndanda tu ni hospitali zote Ni lazima tujue dini yako. Kuna magonjwa yapo common kwa dini fulani. Mfano wakristo kwasababu wanakula kitimoto wana uwezekano wa kuwa na ugonjwa wa nguruwe tineasisi. Wakati waislam siyo sana. Lakini kuna dini ambazo wao hawaongezwi damu mfano mashahidi wa yehova.

Wakristo kutairi ni optional wakati waislam ni lazima. So kuna magonjwa common kwa dini fulani pia.
 
hawaombi sadaka za magonjwa?? Kila siku sadaka mpya zinaibuka saiv kuna sadaka inaitwa sadaka ya saa100
 
Duuuuuuuuuuuh😳
 
Kujua zaidi hapo inabidi uende na mshikaji wako, mtaje ugonjwa mmoja, ila dini zenu tofauti, hiyo ni hatua ya kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…