Kwanini hospitali zina mchoro na picha ya nyoka?

Kwanini hospitali zina mchoro na picha ya nyoka?

Habari zenu wana Jamvi.
Nimefuatilia sana hili swala na nimeamua kuomba msaada na majibu,kwa wale wanaoiamini Biblia ktk historia ya Kuumbwa kwa Adamu na HAWA kiumbe huyu Nyoka ndiye aliyetumiwa na shetani kumdanganya HAWA na baadae Adamu na hivyo wakaingia ktk Dhambi na Mungu akaweka Uadui kati ya uzao wa Nyoka na mwanadamu hivyo Nyoka ni Adui wa mwanadamu, Sasa Hospitals na sehemu zingine za kutolea Huduma za Afya ni sehemu tunazokuwa na matumaini ya kupata uponyaji.sasa kwa nini kuna hii picha au mchoro wa huyu kiumbe Nyoka?? Nani mwanzilishi wa Nembo hii ya nyoka na ilianza kutumiwa wapi na maana halisi ya nembo ya kiumbe huyu ni nini?

Naombeni majibu na ufafanuzi AhsanteniView attachment 501467
kahama hapo mkuu cyo!!!! [emoji53][emoji53]
 
Mtaani kwetu wananikoma aiseee...wananiita mi mtaalam wa kila kitu kumbe nakuja huku nazoa maujanja bureeee then naenda kumwaga mavitu. Jamsn JF idumu milele
Wote tuseme aaameni.
Wao wanakuona mjanja, wewe binafsi unajionaje? Fara?
 
Hiyo inaitwa the stuff of wisdom miungu ya kale kama hermes anaonekana akiwa ameishika hii fimbo.
Hii ni miongoni mwa symbol ambazo tunaziita allegories.Hizi alama huwa ziko on plain sight lakini kuna truths behind them. Kuna nadharia zinafichwa behind hizi allegories.
Mysteries au secret societies kama freemasonry huwa hutumia hizi allegories kukufumba usiye mason usijue falsafa zao hivo hizi ni symbolic philosophy.
In reality hii symbol ya fimbo iliyokuwa coiled na snake imekuwa originated from ancient mysyeries.
Ukisoma kuhusu mystery religions especially greek mystery rekigions unaweza kupata mwanga.
Hiyo alama pia ipo kwenye noti yetu ya shilingi 500
Ahsante sana mkuu kwa kweli Freemasons basi ni ngumu kuwakwepa na tunaabudu wakati mwingine bila kujua ila huyo nyoka wa kwenye noti zetu sijui anamaanisha nini wanaweza tudanganya ni maliAsili haaaa,haaaa
 
Nyoka=sumu ya haraka.
Hospitali=Sumu ya polepole.
Dunia si salama Tena!
 
The image of serpents wrapped around a staff is a familiar one in the medical field, decorating
pharmaceutical packaging and hospitals alike. Snakes bites are generally bad news, and so the animal might seem ill-fitting as the symbol of the medical profession, but the ancient emblem actually has a quite a story behind it.
There are actually two versions of the symbol. The
winged version is known as a caduceus, andthe stick is
actually a staff that was carried by the Olympian god
Hermes. In Greek mythology, Hermes was a messenger
between the gods and humans (which explains the
wings) and a guide to the underworld (which explains
the staff). Hermes was also the patron of travelers,
which makes his connection to medicine appropriate
because, in the olden days, doctors had to travel great
distances by foot in order to visit their patients.
In one version of Hermes' myth, he is given the staff by
Apollo, the god of healing . In another version, he
receives the staff from Zeus, the king of the gods, and it
is entwined with two white ribbons. The ribbons were
later replaced by serpents, as one story tells that
Hermes used the stick to separate two fighting snakes ,
who then coiled around his staff and remained there in
balanced harmony.
Another, earlier depiction of the medical symbol is the
staff of Asclepius, thought it has no wings and only one
snake. The son of Apollo and the human princess
Coronis, Asclepius is the Greek demigod of medicine .
According to mythology, he was able to restore the
health of the sick and bring the dead back to life.
Advertisement
In one telling, Zeus killed Asclepius with a thunderbolt
for disrupting the natural order of the world by reviving
the dead, while another version states that Zeus killed
him as punishment for accepting money in exchange for
conducting a resurrection. After he died, Zeus placed
Asclepius among the stars as the constellation
Ophiuchus, or "the serpent bearer."
The Greeks regarded snakes as sacred and used them
in healing rituals to honor Asclepius, as snake venom
was thought to be remedial and their skin-shedding
was viewed as a symbol of rebirth and renewal. Which
is a good thing to keep in mind the next time you spot a
medical alert bracelet featuring the seemingly sinister
serpents.
Why Do Doctors Wear Green Or Blue Scrubs?
Why Do Medical Researchers Use Mice?
Is the Placebo Effect Real?
Got a question? Send us an email and we'll crack it.
Follow Remy Melina on Twitter @RemyMelina
 
Habari zenu wana Jamvi.
Nimefuatilia sana hili swala na nimeamua kuomba msaada na majibu,kwa wale wanaoiamini Biblia ktk historia ya Kuumbwa kwa Adamu na HAWA kiumbe huyu Nyoka ndiye aliyetumiwa na shetani kumdanganya HAWA na baadae Adamu na hivyo wakaingia ktk Dhambi na Mungu akaweka Uadui kati ya uzao wa Nyoka na mwanadamu hivyo Nyoka ni Adui wa mwanadamu, Sasa Hospitals na sehemu zingine za kutolea Huduma za Afya ni sehemu tunazokuwa na matumaini ya kupata uponyaji.sasa kwa nini kuna hii picha au mchoro wa huyu kiumbe Nyoka?? Nani mwanzilishi wa Nembo hii ya nyoka na ilianza kutumiwa wapi na maana halisi ya nembo ya kiumbe huyu ni nini?

Naombeni majibu na ufafanuzi AhsanteniView attachment 501467
Ile ni Alama ambayo ukiwatafuta waJuvi wa mambo watakwambia maana yake. Sh 500/= ya noti ina Alama kama hiyo. Je Jero inatumika katika mambo ya Uponyaji?
 
Back
Top Bottom