Kwanini hospitali zina mchoro na picha ya nyoka?

Kwanini hospitali zina mchoro na picha ya nyoka?

The image of serpents wrapped around a staff is a familiar one in the medical field, decorating
pharmaceutical packaging and hospitals alike. Snakes bites are generally bad news, and so the animal might seem ill-fitting as the symbol of the medical profession, but the ancient emblem actually has a quite a story behind........
Christian mysteries were probably borrowed from the fragments of the mystery religions
 
Nyoka huyu ni tishio kwa binadamu na viumbe vingine, lakin nyoka huyuhyu kuna baadhi ya taasisi humtumia kama logo yake, kuna siri gani hapa nyuma yake
IMG_20190124_200834.jpeg
49913215_2032459270137260_6895469306371807952_n.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyoka juu ya mti tafsiri zake ni nyingi,wapo wanaosema ni alama ya maarifa wengine wanasema ni alama ya ushetani,lakini maana halisi ya hij alama ni alama ya umeme,nguvu chanya ya mwanaume,inasemekana nguvu za mwaume uwa zinatembea mwilini Kama nyoka,wanaita Kundalini sexual energy na Pia umeme unapokuwa unatembea kutoka sehemu moja kwenda nyingine hutembea mithili ya nyoka! Sasa imetumikaje kwenye mambo ya Medicine nk sijui ila inahisiwa kuwa umeme unaweza ukatumika kujenga au kuangamiza kwamba sekta ya masuala ya kitabibu inatakiwa isaidie watu ingawa ikitumika vibaya inaweza angamiza
But all in all hizi ni moja ya alama za Siri Sana zinazojulikana na aina Fulani za watu mm nilizipata kwenye kitabu kinaitwa Numerology,secret meaning of numbers and symbols

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binadamu tunatembea wima
Wao wanatembea kwa kujivuta
Binadamu wanafki,hasira,umbea na wao hivo hivo
Ila pia huruma sometimes wanao mfano hawezi kumdhuru mtoto
Nyoka ndiye adui yetu namba moja
 
Alianzia kwa moses, alipotengeneza bronze snake kwaajili ya healing
 
The symbol ni "rod of Asclepius" a staff with a serpent encircling it.Asclepius was an ancient Greek physician also known as the God of healing.The snake symbolizes rejuvenation and renewal of youth as it casts off its skin.Pia ukisoma kwenye biblia Hesabu 21:8 " Mungu alimwambia Mussa jifanyie nyoka wa shaba ,ukaweke juu ya mti na itakuwa kila mtu aliyeumwa atazamapo ataishi." hiyo ndio alama ya utabibu kwenye hospitali
 
Nyoka juu ya mti tafsiri zake ni nyingi,wapo wanaosema ni alama ya maarifa wengine wanasema ni alama ya ushetani,lakini maana halisi ya hij alama ni alama ya umeme,nguvu chanya ya mwanaume,inasemekana nguvu za mwaume uwa zinatembea mwilini Kama nyoka,wanaita Kundalini sexual energy na Pia umeme unapokuwa unatembea kutoka sehemu moja kwenda nyingine hutembea mithili ya nyoka! Sasa imetumikaje kwenye mambo ya Medicine nk sijui ila inahisiwa kuwa umeme unaweza ukatumika kujenga au kuangamiza kwamba sekta ya masuala ya kitabibu inatakiwa isaidie watu ingawa ikitumika vibaya inaweza angamiza
But all in all hizi ni moja ya alama za Siri Sana zinazojulikana na aina Fulani za watu mm nilizipata kwenye kitabu kinaitwa Numerology,secret meaning of numbers and symbols

Sent using Jamii Forums mobile app
1.Biblia inaelezea juu ya nyoka wa shaba ambapo wana Wa Israeli walipoumwa na nyoka jangwani walielekezwa kumwangalia nyoka wa SHABA iliyekuwa amewekwa juu ya mti na walipona pale walipoumwa. Hospitali , mashirilka hayo yameiga mfano huo na kutumia alama hiyo kama ishara ya uponyaji.
2. Nyoka ni shetani (malaika aliyemuasi Mungu) na ibilisi aliesababisha mwanadamu kumuasi Mungu.
Ukimwangalia YESU aliyewambwa pale JUU YA MTI hata mauti na siku ya tatu kufufuka unapona mauti ya milele na kuepuka jehanamu ya moto iliyotayarishiwa ibilisi na malaika zake walioasi pamoja naye.
3. Tubu dhambi zako UOKOLEWE leo kwa jina la YESU.
Mimi nimejaribu kukueleza kwa sehemu ya uelewa wangu . Watafute watumishi wa makanisa ya Ki-pentekoste wakujuze zaidi( FGBF-Kakobe; Gwamanya, Gwajima etc
 
Ni alama ya matibabu inatumiwa na taasisi zinazotoa huduma za Afya.Historia yake ilianzia huko Guinea watu walikua wanatumia kijiti Kumviringisha mnyoo(guinea worm) toka mwilini. Mtu alikua anatembea na kijiti ata mwezi mzima hadi pale mnyoo mzima atapokua ameviringishwa kwenye kijiti toka mwilini
 
Alama ya nyoka aliejikunja kwenye kijiti ni alama rasimi ya taaluma ya tiba na huduma toka enzi za Hippocrates, ni alama inayotumika dunian kote ktk hospital, vyuo na vitabu vyote vya tiba ktk mataifa yote, dini zote na kabila zote.

Chanzo chake ni ile simulizi iliyopoko ktk torati (inakubaliwa na waislamu, wakristo na wayahudi bila shaka) kuhusu watu waliomkosea Mwenyezi Mungu nae akawaadhibu kwa kuwatumia nyoka wakali ambao walipokua wakiumwa nao walifariki dunia,

Walipotubu na kubadilika Mwenyezi aliwasamehe uovu wao na kumwagiza nabii wake "kutengeneza nyoka wa shaba na kumtundika juu ya mti" na kila aliyeumwa na wale nyoka wa "mauti" alipomwangalia yule nyoka wa mfano (shaba) alipona. (Rejea kitabu cha Hesabu 21:1-35 na Yohane 3:14-15)

Mwenye Kujua Zaidi Tusaidie.
IMG-20210723-WA0000.jpg
 
Alama ya nyoka aliejikunja kwenye kijiti ni alama rasimi ya taaluma ya tiba na huduma toka enzi za Hippocrates, ni alama inayotumika dunian kote ktk hospital, vyuo na vitabu vyote vya tiba ktk mataifa yote, dini zote na kabila zote...

Back
Top Bottom