..hii hotuba ni kwa ajili ya kumuomboleza Madiba, au kueleza mchango wa Tanzania ktk harakati za ukombozi?
Hahaha duh kweli kizungu sio mchezo, ame kikanyaga kanyaga hiiiiiiH.E President John Pombe Magufuli speech 2017
OkHivi tatizo ni nini?
Hatuna waandishi wazuri wa hotuba?
Au viongozi wetu wamepungukiwa kiuwezo?
Hebu angalieni hotuba hii hapa chini jinsi ilivyotulia.
Mkuu Americans speak about people,watu,utu,maisha bora ya mtu,Uhuru wa mtu ndiyo priority yake,Huyu magufuli anasema pale singida kuwa uchumi wetu ni zaidi ya kitu chochote including uhai wetu, miundombinu ni bora kuliko watanzania,Kama watanzania tungekuwa watu,tungekuwa na akili .it was a good time to say no to Magufuli.Hivi tatizo ni nini?
Hatuna waandishi wazuri wa hotuba?
Au viongozi wetu wamepungukiwa kiuwezo?
Hebu angalieni hotuba hii hapa chini jinsi ilivyotulia.