Kwanini hotuba za Wanasiasa wa Tanzania (wa Upinzani na Chama Tawala) ni za kiwango cha chini mno? Nimewawekea mifano ili wajiongeze

Kwanini hotuba za Wanasiasa wa Tanzania (wa Upinzani na Chama Tawala) ni za kiwango cha chini mno? Nimewawekea mifano ili wajiongeze

Hapa viongozi wetu walikuwa wanatoa hotuba zinazohusu mashirikiano ya kimataifa ktk nyanja mbalimbali kuanzia afya, siasa za kimataifa, ushawishi wa Tanzania ki geopolitics na kikanda.

Kuhusu hotuba inayoangazia masuala ya siasa za ndani ya nchi kama hotuba ya Barack Obama, kwa Tanzania upande wa upinzani wapo vizuri kuainisha changamoto zetu kwa undani kuliko chama cha CCM.

Huyu jamaa kweli chizi, sasa huo mkusanyiko mbona raia hajawapa tahadhari ya kuambukizana CORONA?? Kajidharaulisha saana.
 
Weka na za Trump

Huyu mwamba anatumia plain simple english zenye ujumbe mzito kwa wavuja jasho wa Marekani, huwezi kulinganisha na hawa wa CCM Mpya hotuba zao kwa lugha yetu mama kwa kiswahili chepesi hawawezi kuwasilisha fikra, mawazo na visheni kwa mwananchi wa kawaida.
 
bagamoyo,

..hebu msikilize John Kennedy ktk hotuba aliyotoa 1962.

..mara ya mwisho mwanasiasa wa Tz kutuunganisha wote, na kutuhimiza kufanya, mambo makubwa ilikuwa lini?

" We choose to go to the Moon in this decade and do the other things, not because they are easy, but because they are hard; because that goal will serve to organize and measure the best of our energies and skills, because that challenge is one that we are willing to accept, one we are unwilling to postpone ..." -- John Kennedy

This is one of my favorite speech ever.
By the way Obama, yuko inspired sana na speech za JF Kennedy.
 
This is one of my favorite speech ever.
By the way Obama, yuko inspired sana na speech za JF Kennedy.

..asante kwa mchango wako.

..tangu 2016 mpaka 2020, kuna kiongozi yeyote ambaye ametoa hotuba, ambayo miaka 50 ijayo watu wataijadili, na kui-admire, kama tunavyofanya kwa hotuba ya JFK ya 1962?

..Na mada yangu nimeielekeza kwa viongozi wa chama tawala, na vyama vya upinzani, sijabagua.

..hebu tueleze what is your favorite speech kwa hapa Tz ktk kipindi cha 2016 mpaka 2020.
 
Wavuja jasho wa Marekani walimpa kura nyingi Hillary Clinton kuliko yeye.

Back
Top Bottom