Hapa viongozi wetu walikuwa wanatoa hotuba zinazohusu mashirikiano ya kimataifa ktk nyanja mbalimbali kuanzia afya, siasa za kimataifa, ushawishi wa Tanzania ki geopolitics na kikanda.
Kuhusu hotuba inayoangazia masuala ya siasa za ndani ya nchi kama hotuba ya Barack Obama, kwa Tanzania upande wa upinzani wapo vizuri kuainisha changamoto zetu kwa undani kuliko chama cha CCM.
Huyu jamaa kweli chizi, sasa huo mkusanyiko mbona raia hajawapa tahadhari ya kuambukizana CORONA?? Kajidharaulisha saana.