Tena ajira yenye kipato kizuri!.Kule siasa ni wito, huku siasa ni ajira
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena ajira yenye kipato kizuri!.Kule siasa ni wito, huku siasa ni ajira
P
100%Kule siasa ni wito, huku siasa ni ajira
P
Ndio maana ukaona career yako haikulipi ukaamua kimbilia huko?Kule siasa ni wito, huku siasa ni ajira
P
No, nimehudumu kwenye my carrier ya meda full term, 30 years net!, na nimestaafu kwa hiari kwa heshima na kuaga rasmi mediaNdio maana ukaona career yako haikulipi ukaamua kimbilia huko?
Point kubwa sana jinsi viongozi wetu wanavyojilonda na hoja dhaifu.Mkuu, katika kipindi baada ya kupata uhuru Mwl. Nyerere alianzisha vita dhidi ya ujinga, maradhi na umaskini. Alikuwa na maana kwamba nchi itaweza kupigana na maadui hao watatu kwa mafanikio, na kugeuka kuwa kichocheo cha maendeleo na hadhi za maisha ya wananchi.
Miaka zaidi ya 60 imepita kwa kile ambacho kihistoria kimeaminika kama ajenda kuu ya nchi huru, kimebakia kuwa kama kiini macho kwa kuwa maudhui, mantiki na hata muktadha vyote vikiwa vimebadilika. Wakati adui wa nne akiongezeka, yaani uduni wa sayansi na teknolojia yake, viongozi wa sasa wenye fikra finyu wala hawaonyeshi kuhangaishwa na maadui hawa wa kihistoria, zaidi ya kuonekana kulinda maslahi yao binafsi ya kiuchumi.
Kinachoonekana sasa ni kujilinda kihoja kupitia takwimu za idadi ya vitu vilivyopo, wala si kwa ubora wa huduma kupitia vitu hivyo. Badala ya kuzungumzia ubora wa elimu inayotolewa, viongozi wao huzungumzia ongezeko la idadi ya madarasa, wingi wa wanafunzi na gharama zinazosemekana kuwa hutolewa bure kwa wanyonge.
Hali hii pia ipo katika afya, na shughuli nyingine zote za kijamii. Chama tawala kwa sasa kinaonyesha kunufaika sana na watu kutopea katika umaskini, ujinga, maradhi na uduni wa sayansi na teknolojia yake. Hunufaika kwa kuwa ipo katika kipindi ambacho kizazi cha watu wasioweza kuhoji, kujitambua, na utayari amauthubutu wa kufanya maamuzi magumu pale inapopasa kufanya hivyo.
Chama tawala kinatumia vibaya vyombo vya dola ili kibakie madarakani. Watawala huishi katika maisha ya ufahari na anasa kubwa, wakati wananchi wengi wakiishi na kutopea katika lindi kubwa la umaskini na ujinga. Licha ya wananchi kikatiba kuwa ndio waajiri wa viongozi, lakini wamekosa mbinu sahihi
za kuwawajibisha watawala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasiasa wengi katika nchi za kiafrika ni weziWakuu nimejaribu kufuatilia huko mambele nimegundua wasomi wakubwa hawajitokezi sana directly kupambania madaraka kama huku kwetu gizani Africa. Huko kwa mabeberu wasomi wakubwa wako huru sana (autonomy) kutoa ushauri hata kukosoa huku kwetu wasomi wanatoka jalalani wengine ni chawa promax.
Mfumuko wa bei uko juu, wasomi wapo tu hatuoni maandiko yao wala juhudi zao kulisaidia taifa. Vitu vingi vimepanda bei kuanzia chakula mpaka vifaa vya ujenzi lakini tuna wasomi wa phd ambao ni political decision makers wapo tu.
Ni muda sasa wasomi kuachana na siasa wajikite kwenye utaalamu wao kulisaidia taifa badala ya kulamba ubuyu na kuashia kumtukuza mfalme huku ndugu zao wakiteseka na kuzika ndoto zao.
Huko kipato kinaendana na uwezo wa kuelimu, huku wenye vipato vikubwa ni wanasiasa. Na ukiwa mwanasiasa hasa wa CCM, unaweza kufanya biashara ukawa na kinga ya kutokulipa kodi.Wakuu nimejaribu kufuatilia huko mambele nimegundua wasomi wakubwa hawajitokezi sana directly kupambania madaraka kama huku kwetu gizani Africa. Huko kwa mabeberu wasomi wakubwa wako huru sana (autonomy) kutoa ushauri hata kukosoa huku kwetu wasomi wanatoka jalalani wengine ni chawa promax.
Mfumuko wa bei uko juu, wasomi wapo tu hatuoni maandiko yao wala juhudi zao kulisaidia taifa. Vitu vingi vimepanda bei kuanzia chakula mpaka vifaa vya ujenzi lakini tuna wasomi wa phd ambao ni political decision makers wapo tu.
Ni muda sasa wasomi kuachana na siasa wajikite kwenye utaalamu wao kulisaidia taifa badala ya kulamba ubuyu na kuashia kumtukuza mfalme huku ndugu zao wakiteseka na kuzika ndoto zao.
Kabisa siasa ni passion kwao sio sehemu ya maslahi.Mkuu
Sababu kuu ni kwamba
Hawajaifanya SIASA kama kazi inayolipa mapesa Mengi kama huku bongo!!
YAANI SIASA kwao ni KAZI ya kawaida yenye malipo ya kawaida na professionals zinalipa kulikot hata siasa!
Huku kwetu kinyume CHAKE!
Umenena, especially hapa Tanzania hatutaendelea kamwe Kama taifa.wanaotakiwa kufanya tafiti kuisaidia nchi wamesogezwa kwenye siasa na Sasa hawana hamu na uprofesa wala udaktari waliouhangaikia. So sad nchi ya masikitikoKule siasa ni wito, huku siasa ni ajira
P
Sijawahi ona nchi Kama Tanzania hata Kama huna elimu,unaweza kulala unaamka na kukutana umeteuliwa kuwa waziri tena wa fedha,hatari sanaMkuu
Sababu kuu ni kwamba
Hawajaifanya SIASA kama kazi inayolipa mapesa Mengi kama huku bongo!!
YAANI SIASA kwao ni KAZI ya kawaida yenye malipo ya kawaida na professionals zinalipa kulikot hata siasa!
Huku kwetu kinyume CHAKE!
Kumbe kuna wakati huwa unaandika mambo ya maana!! Inaonekana akili nzuri unayo, sasa muda mwingine sijuo kwa nini huwa unajitoa ufahamu.Huko kwa wenzetu wanaanzisha research institutes, unakuta anaanzisha institute ya utafiti wa uchumi Afrika mashariki, humo ndani ya institute wanagawana idara, mmoja ana specialize mambo ya Kenya, mwingine Uganda, mwingine Tanzania. Hata kama Kuna nchi au taasisi au serikali, inataka kufanya maamuzi ya kisera, Wana wa consult na anakuwa na taarifa kiganjani.
Kunakuwa na specialist wa mambo ya Siasa, uchumi, sheria, usalama, mahusiano ya kimataifa. Yaani ukiwagusa ti eneo fulani, Wana taarifa mkononi na wanashauri. Wanaojua DRC ndani nje, Kenya ndani nje, Uganda ndani nje, Tanzania ndani nje. Wanauza ujuzi na taarifa za kisomi.
Sasa hivi DRC imejiunga na EAC, lakini taarifa zilizotamalaki ni za vita, sio fursa za kiuchumi, watanzania wengi tunadharau kilimo Cha mihogo, kumbe Burundi wanasaka unga wa muhogo mahali popote ulipo. Uganda, mchele wa Tizee unawatoa udenda.
Na mengine mengi.
Ma Prof wetu wao wanaishi katika theories, Kila mwaka ataingia Darasani atakuimbia theories za Plato, atarudi mwakani hivyohivyo, lakini watu wanataka waone hizo concept zinaonekanaje na kutumikaje mtaani katika ulimwengu wa Siasa, uchumi, na kijamii.
Ukienda pale Maruku chuo Cha utafiti wa kahawa na migomba, nje ya fensi yao kuna shamba la mwanakijiji lina migomba imedumaa na inaumwa, na kahawa ziko hoi, yaani hata usomi hauonyeshi ujirani mwema na jamii iliyowazunguka! Wananchi wanaona chuo kimekuja kukaba ardhi yao tu. Nenda Mabuki, mifugo ya jirani iko hoi, chuo wanafunzi na walimu wanakariri tu vitabu, hawana hata siku moja kwa mwezi walimu na wanafunzi kwenda Kijiji fulani kuona na mfugaji fulani.
S.U.A, profesa wa kilimoau dokta, hana hata shamba ili atajirike kwa elimu yake.
Kwa hiyo unakuta Prof anakutana na mbunge musukuma au kishimba wanagombania ka nafasi kamoja!.
mmoja akaishia kukiita chuo kikuu jalala, jalala hukaa juu ya ardhi, nadhani ili chuo kile kiwe jalala, lazima kuwepo takataka juu ardhi yake, bila takataka hakuna jalala, na takataka ni huyo Prof
Kula Australia kuna conference huwa inafanyika kila mwaka juu ya Africa mineral potential. Nilihudhuria mara 3. Kila nilipohudhuria, mwafrika nilikuwa pekee yangu. Mara moja, weusi tulikuwa wawili, lakini mwenzangu alikuwa Muingereza.Umenipa nondo za maana nimefurahi kweli maana niliwahi kusoma journals kutoka OXFAMS wanatujua ndani nje wameeleza mpaka how minority races walivyo take over sehemu kubwa ya soko la tanzania.
Nchi za ulaya haziongozwi na madakitari wala maprofesa feki, sijawahi kusikia rais wa marekani akiitwa dokta, wala rais wa nchi yoyote ya ulaya akiitwa dokta.Wakuu nimejaribu kufuatilia huko mambele nimegundua wasomi wakubwa hawajitokezi sana directly kupambania madaraka kama huku kwetu gizani Africa. Huko kwa mabeberu wasomi wakubwa wako huru sana (autonomy) kutoa ushauri hata kukosoa huku kwetu wasomi wanatoka jalalani wengine ni chawa promax.
Mfumuko wa bei uko juu, wasomi wapo tu hatuoni maandiko yao wala juhudi zao kulisaidia taifa. Vitu vingi vimepanda bei kuanzia chakula mpaka vifaa vya ujenzi lakini tuna wasomi wa phd ambao ni political decision makers wapo tu.
Ni muda sasa wasomi kuachana na siasa wajikite kwenye utaalamu wao kulisaidia taifa badala ya kulamba ubuyu na kuashia kumtukuza mfalme huku ndugu zao wakiteseka na kuzika ndoto zao.
Point yako tamu sana kuisoma, mabunge ya nchi za mabeberu yana vichwa kwelikweli, unaweza kuingia na paper yako ukaikimbia mwenyewe.Kabisa siasa ni passion kwao sio sehemu ya maslahi.
Nchi kama U.K. Rish Sunak alikuwa na kampuni yake ya hedge fund ingeweza kumuingizia hela kushinda siasa na mkwewe familia yao ni filthy rich.
Savid Javid kaacha six figures sums plus bonuses za investment banking, kuingia kwenye.
Shadow Chancellor Racheal Reeves keshashika senior post kwenye central bank yao, kawa mshauri wa U.K. government in dealing with USA, kaenda private banking na kabla ya kuingia siasa rasmi alikuwa na job offer ya six figures J.P Morgan akaikataa.
Phd akiingia humo amtishi mtu sio kwa hoja tu na paper yake yenyewe wanaweza ichambua on merit kumwambia its bias mwenyewe akakimbia. Kuna mijitu humo kwenye bunge lao imebobea kwenye kila sector na wana first degrees tu.
Wako wengi sana, sema wana one thing in common wote hao walishiriki siasa za vyama wakati wapo vyuoni, baadae wakishafanikiwa kwenye maisha through their proffesions wanarudi kwenye siasa, ni passion to make changes more than anything.
Ila huko kwenye civil services wamejaa Phds.