Kwanini huko Ughaibuni kama Marekani na Uingereza wasomi (Maprofesa na Madaktari) hawashoboki na siasa?

Kwasababu huku wanasoma kuwa wanasiasa na kule wanasoma ili watatue matatizo kwenye jamii na ni heshima kwao kufanikisha hilo.
 

Siku akitokea kichaa mmoja akakata mizizi ya wanasiasa na kuipeleka kwa wasomi hii nchi itapiga hatua.
 
Lazima unajisikia sikia leo. Umeacha mapovu yako na porojo ndefu.....

Anayetukuza Ufalme na Malikia ni watu wa bara la Ulaya. Ni uwongo kudai au kusema kuna mtu au watu Afrika au Tanzania anayetukuza Ufalme...Haupo Usituchanganye Rudi Essex Hall kwa maelekezo.

Bibi alikuwa na Usongo.Masikini Kibibi Elizabeth wa Uingereza aligadhibika na kupata mshutiko wa moyo pale alipo gundua kuna Malikia mtarajiwa mweusi Kibibi Malikia Elizabeth akaongeza na usongo wa kuambiwa mwanae mfalme mtarajiwa anapigana denda na mwanaume mwenzake kwenye bustani, ni Junya! na pale alipopewa majina ya baraza la mawaziri (fedha)ndio kabisaaa akanyong'onyea akajifia na Usongo.... kazikwa na Ukimbari wake, inawezekana na ndoto zake za kutawala Dunia.

Ufalme unaterereka.... Na tungependa Kuondolewa na Kuondoka katika Jumuiya ua Madola.
 
Kwa nchi kama Tz hawa wanojiita maprof. na ma Dr ndio waganja njaa hatare kuliko hata mie na wewe ndugu!
 
Umeongea kwa dharau sana lakini pumba tupu. Logic yangu mimi ni jinsi wasomi wetu wanavyokuwa passive members wakati wana utaalamu au intellectual resources kuweza kuusaidia umma na matatizo yake. Fikilia leo Timothy Berners - Lee awe chawa kama alivyojionesha proffessor kutoka jalalani.

Taifa letu tuna limited intellectual resources licha ya kuwa tu natural resources nyingi. Wananchi hutuko active tunasubili wanasiasa baadhi yao vilaza na machawa kuamua kwa ajiri yetu.
 
Nina swali dogo. Msomi ni nani haswa?
 
Saa nyingine dawa ya moto ni moto.

Umenijibu yale niliyoyaona. Kuhusu Yale uliyoyaandika. Point taken. Utaeleweka, zaidi.

Tatizo lenu mnajifanya kuleta mada, kumbe mnaleta dharau na matusi. Nimekuonjesha sumu zenu.

Modus Tollendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…