Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Kwa sababu ya uongo ninaowapiga nikienda kijijini na visuti vyangu na ela ya kusumbua kwa muda nitakaokaa. Sasa tukionana watajua ukweli kuwa nawapiga sound
Eeh mkuu maana wanahisi mjini nimefanikiwa kweli nina maisha nimeyapatia. Hata mtoto wa diwani wa kijiji nikimtaka ananioza bila shidaSo unalinda heshima na Brand ya mchongo
Sitaki mazoea nao kabisa, maana ni waandishi wa habari wa kujitegemea...
Tatizo sie kijijini kwetu tunakula sana panzi (senene) na kumbikumbi na tunaona sifa, wakija nyumbani hawa ndugu zangu wataanza kuokota kumbikumbi na senene wote hapa mjini na kuuza hapa mtaani.Kwema Wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza, ni sababu gani inayokufanya usitake kuonana na watu wa kijijini kwenu hapa mjini?
Mimi: Kwa sababu mambo yangu hayajakaa sawa. Wewe?
Tatizo sie kijijini kwetu tunakula sana panzi (senene) ba kumbikumbi na tunaona sifa, wakija nyumbani hawa ndugu zangu wataanza kuokota kumbikumbi na senene wote hapa mjini na kuuza hapa mtaani.
Dah, hili swali mtibeli liko kama la Kipimajoto cha ITV.
Swala la kuzikuta habari zangu kwa majirani kule kijijini(unashangaa wazazi wako ndio wanajisikia unyonge wanavyoongelewa utafikiri kosa ni lako) ati hana kitu yule ama visifa viwili tu sizitakagi
Inafikirisha Sana
Nakwepa kuulizwa mambo yangu binafsi na majungu madogo madogo
Hapa mjini mkuu, watu wamelala wewe unazurura tu mitaani huko Uswahilini kutafuta wadudu kwa ajili ya kitoweo, si haibu hii?Kwa hiyo hutaki wafanye biashara?
Hapa mjini mkuu, watu wamelala wewe unazurura tu mitaani huko Uswahilini kutafuta wadudu kwa ajili ya kitoweo, si haibu hii?
Basi we ni Muha, nishakujuwa tayari.Nakwepa kuulizwa mambo yangu binafsi na majungu madogo madogo
Huu uzi unawahusu watu wa mikoani niwaachie mjadili, ngoja mie nijipongeze na machungu ya kufa kiume Kule Misri