Kigugumiza
JF-Expert Member
- Mar 7, 2022
- 508
- 687
Kauli mbiu ya selikali ni kujikwamua hapa tulipo ili kwenda mbele zaidi yaani kupambana na Umaskini, ujinga,maradhi na mengineo.
Kwa muonekano wa hawa viongozi tuliyokuwa nao toka baada ya Nyerere kweli yupo aliyewahi au atakayekuwepo mwenye uthubutu,au wengi wako kwa ajili ya Maslai ya matumbo yao familia zao na jamaa zao.
Ni kweli siku moja na sisi tutakuja kujivunia Tanzania iliyopiga hatua ya vitendo sio ya mdomo chini ya hiki chama cha CCM kinachotaka kutawala milele huku maisha ya Watanzania kila siku yakiendelea kuwa mabaya.Nini kifanyike
Nimewahi kuyasikia ndugu yanguMkuu uliwahi kuyasikia madai ya katiba mpya?
Jenga hoja ueleweke, usiishie kulalamika kuhusu maisha kudidimia siku hadi siku maana hicho ni kilio cha Dunia nzima.Kauli mbiu ya selikali ni kujikwamua hapa tulipo ili kwenda mbele zaidi yaani kupambana na Umaskini, ujinga,maradhi na mengineo.
Kwa muonekano wa hawa viongozi tuliyokuwa nao toka baada ya Nyerere kweli yupo aliyewahi au atakayekuwepo mwenye uthubutu,au wengi wako kwa ajili ya Maslai ya matumbo yao familia zao na jamaa zao.
Ni kweli siku moja na sisi tutakuja kujivunia Tanzania iliyopiga hatua ya vitendo sio ya mdomo chini ya hiki chama cha CCM kinachotaka kutawala milele huku maisha ya Watanzania kila siku yakiendelea kuwa mabaya.Nini kifanyike
Nimewahi kuyasikia ndugu yangu
sabubu wanajua kuongeaKauli mbiu ya selikali ni kujikwamua hapa tulipo ili kwenda mbele zaidi yaani kupambana na Umaskini, ujinga,maradhi na mengineo.
Kwa muonekano wa hawa viongozi tuliyokuwa nao toka baada ya Nyerere kweli yupo aliyewahi au atakayekuwepo mwenye uthubutu,au wengi wako kwa ajili ya Maslai ya matumbo yao familia zao na jamaa zao.
Ni kweli siku moja na sisi tutakuja kujivunia Tanzania iliyopiga hatua ya vitendo sio ya mdomo chini ya hiki chama cha CCM kinachotaka kutawala milele huku maisha ya Watanzania kila siku yakiendelea kuwa mabaya.Nini kifanyike
Huenda alikuwa msimamizi wa kituo Cha uchafuzi 🤸Wewe uliwahi kumpa uongozi nani? Acha kujipa umuhimu usio kuwa nao.
Kadri miaka inavyosonga mbele ndiyo tuvyozidi kupata viongozi wabovuKauli mbiu ya selikali ni kujikwamua hapa tulipo ili kwenda mbele zaidi yaani kupambana na Umaskini, ujinga,maradhi na mengineo.
Kwa muonekano wa hawa viongozi tuliyokuwa nao toka baada ya Nyerere kweli yupo aliyewahi au atakayekuwepo mwenye uthubutu,au wengi wako kwa ajili ya Maslai ya matumbo yao familia zao na jamaa zao.
Ni kweli siku moja na sisi tutakuja kujivunia Tanzania iliyopiga hatua ya vitendo sio ya mdomo chini ya hiki chama cha CCM kinachotaka kutawala milele huku maisha ya Watanzania kila siku yakiendelea kuwa mabaya.Nini kifanyike
Hapo sawaHuenda alikuwa msimamizi wa kituo Cha uchafuzi 🤸
Kauli mbiu ya selikali ni kujikwamua hapa tulipo ili kwenda mbele zaidi yaani kupambana na Umaskini, ujinga,maradhi na mengineo.
Kwa muonekano wa hawa viongozi tuliyokuwa nao toka baada ya Nyerere kweli yupo aliyewahi au atakayekuwepo mwenye uthubutu,au wengi wako kwa ajili ya Maslai ya matumbo yao familia zao na jamaa zao.
Ni kweli siku moja na sisi tutakuja kujivunia Tanzania iliyopiga hatua ya vitendo sio ya mdomo chini ya hiki chama cha CCM kinachotaka kutawala milele huku maisha ya Watanzania kila siku yakiendelea kuwa mabaya.Nini kifanyike
Halafu hata zero brain akishapata madaraka naye anataka mmwone ni genius! Namwangalia Sami naishia kusema hiiiiiiiiiiiiii!!
Inawezekana kwa hatua niliyofikia inalizisha,maana sitegemea kudhuluma au kumuibia mtu kwa mgongo wa CCM mimi nafanya kazi kwa mikono yanguWewe familia yako ipo na hali gani? Itoe kwanza familia yako kwenye hayo ndipo udiscuss mambo ya kitaifa
Mfumo wa kupata viongozi wazuri ni mmbovu.
Kwa bahati mbaya sana hapa Tanzania ili ufanikiwe kisiasa basi inakupasa ujitoe ufahamu kwa kujipendekeza kwa wenye mamlaka.
Usipofanya hivyo hutoboi.
Jambo ambalo ni gumu sana kufanywa na wenye uwezo.
Labda wenye mamlaka wajifunze kukaa mbali na wanaojipendekeza jambo ambalo haliwezi kutokea maana nao pia wanapenda kutukuzwa.