Naomba kuuliza tu!
Hawa wenzetu huwa wanawaza kwa kutumia nini?
Yaani unachimbua barabara kuweka viraka halafu unaiacha na mashiyo hayo pasipo kuyaziba inazidi kuwa mbaya zaidi unapotea!
Sasa kama huna bajeti ya kujenga kwaninj huwa wanachimbua?
Yaani ni sawa na mtu achimbe msingi wa nyumba wakati hajajipanga kujenga hii ni akili au matope!
Barabara nyingi za mtaa zinaharibiwa na mamlaka kwa kuendekeza akili za kijinga kuchimbua na kuacha mashimo
Wanacchimbua mabarabara kwa lengo la kutengeneza yakiwa yanapitika na kuyaacha yakiwa mabovu zaidi yasiyopitika!
Hawa jamaa wanatumia elimu gani ya ufundi kufanya huu ujinga?
Sijui huwa wanatuonaje hawa viumbe;