Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!!
Hii tabia au hali kama hii ipo wazi sana na nimejaribu kuchunguza muda mrefu nimeona wanayanga na viongozi wao huwa wanaiwaza Simba sana kuliko hata timu yao
Yaani yule msemaji wao sijui anaitwa ally kamwe.Yaani kila akiongeo na chombo cha habari chochote au na mtu yeyote lazima aiseme Simba sc ila wanaSimba hawana muda na kusema sema mambo ya yanga.
Washabiki wa yanga sasa wanaisema Simba mpaka mishipa ya kwenye uso zinasimama masikini ila wanaSimba hawana hata muda nao ila wanawalazimisha Simba waongee juu yao.
Inaonekana hawa jamaa wanateseka dhidi ya Simba na nafikiri ni jamii yenye tabia zinazofanana fanana kwanza wote wana silika moja.
Wanasimba wengi sana ni watu wakimyaa,sawa wanaongea ila kwa uchungu wa kuisemea timu yao pale ambapo wanaona inaseama ndivyo sivyo.
Hata ukiangalia threads nyingi humu ndani ni za kuisema Simba.
Nini tabia ya watu wanaopenda kufiatilia kusema sema maisha ya watu sana....
Sio kosa kuisema timu nyingine ila hawa jamaa wamekuwa too much..mpaka unajiuliza nikwamba Simba imewachomekea mkuki sehemu fulani na wamekataa kuchomoa...