Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Sasa kuna Wakubwa zaidi ya YOUNG AFRICANS kwa Bongo hii kweli Kolo?Sio kila bao lina impact chura...uliza wakubwa wakwambie..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kuna Wakubwa zaidi ya YOUNG AFRICANS kwa Bongo hii kweli Kolo?Sio kila bao lina impact chura...uliza wakubwa wakwambie..
Sasa kama sisi malimbukeni na tunakupiga hizo zote tena majuzi...ninyi mtakuwa nani????🤣🤣🤣Tano mlishafirimbwa...usijisahaulishe..tatizo lenu ni ulimbukeni...
Unakubalije kupigwa zote hizo na limbukeni?Tano mlishafirimbwa...usijisahaulishe..tatizo lenu ni ulimbukeni...
Aaahhh naona unarudia mada...ngoja nikalale...Sasa kama sisi malimbukeni na tunakupiga hizo zote tena majuzi...ninyi mtakuwa nani????🤣🤣🤣
Usilale Kolo, Yanga Bingwa hata ubwabwaje vipiAaahhh naona unarudia mada...ngoja nikalale...
Kweli ww ni chura kiziwi..😀😀
Kwahyo unataka tena na mm nirudie mmeshakula 5...6..4
Uzi si utajaa marudio...
Ulimbukeni ni kurudia rudia mada hyo hyo ni kama vile mlibahatisha kumfunga mnyama...yani ni kama ndoto yenu ya muda mrf sasa imetimia ndo maana kila siku ni 5...na mimi nakukumbusha hata nyie mlizila 5..bado hamjavunja rekodi ya 6 kwa 0...
Uwe na usiku mwema utopolo wa head wee
Azarel aka chura kiziwi..
Mwakarobo Mwakatano kiboko yako ni Yanga tu ..ongezeni Usajili tena 🤣🤣🤣Aaahhh naona unarudia mada...ngoja nikalale...
Kweli ww ni chura kiziwi..😀😀
Kwahyo unataka tena na mm nirudie mmeshakula 5...6..4
Uzi si utajaa marudio...
Ulimbukeni ni kurudia rudia mada hyo hyo ni kama vile mlibahatisha kumfunga mnyama...yani ni kama ndoto yenu ya muda mrf sasa imetimia ndo maana kila siku ni 5...na mimi nakukumbusha hata nyie mlizila 5..bado hamjavunja rekodi ya 6 kwa 0...
Uwe na usiku mwema utopolo wa head wee
Azarel aka chura kiziwi..
😀😀😀Washabiki wa hiyo timu nawaonaga kama waswahili fulani wa uchochoroni tu
Ila mmekuwa kama wachawi maana mnatumia nguvu kubwa kuwasena waliojifia.Tunaisema 5imba ila Yanga tunaisifia. Sababu za kuisema 5imba ni hizi;
1. Mwakarobo
2. Dakika 90 bila hata shuti la kulenga goli kwenye mechi yenu na Tripoli
3. Tuliwapiga tano, tukarudia kuwapiga mbili, na mwisho mkachezea kimoko
4. Kuna makocha mliwafukuza kisa kufungwa na Yanga. Kuna timu iliwafunga lakini hamkufukuza kocha yeyote
5. Bado mnajitafuta. Kibaya zaidi, badala ya kujitafuta kwenye mazoezi, mnajitafutia kwenye mashindano.
6. Kipimo cha taifa kwenye kombe la shirikisho ni fainali, mambo yenu ya kumbwela yanatufanya tuwaseme.
Yaani hawa hatujali kama tunatumia nguvu kubwa ua ndogo. Sisi ni kuwasema mwanzo mwisho. Si unakumbuka kuna siku wana Yanga tulikuwa na session ya lisaa limoja la kuwakera 5imba..!!? Hawa tunao miaka 1000. Na wakitolea na wale waarabu wa Tripoli kwenye level hii, watafute dunia yao ya kuishi. Maana tutawasema hadi wafe upya..!!Ila mmekuwa kama wachawi maana mnatumia nguvu kubwa kuwasena waliojifia.
Waambie robo robo ndio zimeifanya Simba kuwa timu namba 6 Bora Africa Kwa msimu 24/25.Bana ww Azarel najua wajua na nimeshakujuza zaidi...faida ya hizo robo..kama hujaziona basi fainali yako ungekua kileleni muda huu...
0 shots on target fc
Tuanze na wewe hapo umeitaja timu gani?Hapo vip!!
Hii tabia au hali kama hii ipo wazi sana na nimejaribu kuchunguza muda mrefu nimeona wanayanga na viongozi wao huwa wanaiwaza Simba sana kuliko hata timu yao
Yaani yule msemaji wao sijui anaitwa ally kamwe.Yaani kila akiongeo na chombo cha habari chochote au na mtu yeyote lazima aiseme Simba sc ila wanaSimba hawana muda na kusema sema mambo ya yanga.
Washabiki wa yanga sasa wanaisema Simba mpaka mishipa ya kwenye uso zinasimama masikini ila wanaSimba hawana hata muda nao ila wanawalazimisha Simba waongee juu yao.
Inaonekana hawa jamaa wanateseka dhidi ya Simba na nafikiri ni jamii yenye tabia zinazofanana fanana kwanza wote wana silika moja.
Wanasimba wengi sana ni watu wakimyaa,sawa wanaongea ila kwa uchungu wa kuisemea timu yao pale ambapo wanaona inaseama ndivyo sivyo.
Hata ukiangalia threads nyingi humu ndani ni za kuisema Simba.
Nini tabia ya watu wanaopenda kufiatilia kusema sema maisha ya watu sana....
Sio kosa kuisema timu nyingine ila hawa jamaa wamekuwa too much..mpaka unajiuliza nikwamba Simba imewachomekea mkuki sehemu fulani na wamekataa kuchomoa...