Kwanini huwa Yanga wanaisema Simba sana katika midomo yao kuliko hata timu yao Yanga?

Kwanini huwa Yanga wanaisema Simba sana katika midomo yao kuliko hata timu yao Yanga?

Sisi ni wakubwaaa...tunatambulika ukanda wote wa africa...nyie endeleeni kujifunza kutoka kwetu...Majayanti...😊😊😊😊
Utopolo aka mazuzu mna la kujifunza kutoka kwetu...
Hata nyau akijiona kwenye kioo anajiona boonge la Big Cat kwa Panya...lakini sio kwa BIG CATS wenyewe
 
Uto Azarel

Usajili umekuuma sana naona...🙄🙄🤒tusingesajili mngewatoa wapi wastaafu wetu kuja kwenu??
Haujaniuma...umenishangaza kwa jinsi mlivyobwabwaja, kumbe mlisajili ili mfungwe 🤣
 
Hata nyau akijiona kwenye kioo anajiona boonge la Big Cat kwa Panya...lakini sio kwa BIG CATS wenyewe
Polee wee huku moyoni unasema yesss...
kuhusu kimataifa hakuna kama Simba...
 
Wewe mleta uzi mchangiaji wa kwanza na wapili wote ni Simba.

Umeleta uzi wa kuisema Yanga na makolo wenzako wanakuunga mkono.

Cha ajabu anatupiwa Yanga lawama!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndio hapo sasa!
 
Polee wee huku moyoni unasema yesss...
kuhusu kimataifa hakuna kama Simba...
Labda niseme hakuna kama Dimba sio Simba Kolokolo kwsbb najua hawezi Vuka Robo fainali KAMWE
 
Haujaniuma...umenishangaza kwa jinsi mlivyobwabwaja, kumbe mlisajili ili mfungwe 🤣
Kufungwa na nani?.yani na uto kile kibao kimoja?.😀😀unachekesha jamani...baada ya hapo tukafungwa na nani?.hujui sbb kwanini mlibahatisha kutufunga mpk leo?
 
Kufungwa na nani?.yani na uto kile kibao kimoja?.😀😀unachekesha jamani...baada ya hapo tukafungwa na nani?.hujui sbb kwanini mlibahatisha kutufunga mpk leo?
Goli moja ndilo linalotengeneza mimba ujue Kolo
 
Tafuta jina lingine hilo halina vibe...halishtui...yani kiufupi limeshazoeleka 🙂🙂🙂uzi umejaa tayari
Lengo sio kukushtua ila jina linasadifu maana Kolo
 
Back
Top Bottom