Kwanini huwa Yanga wanaisema Simba sana katika midomo yao kuliko hata timu yao Yanga?

Na Yanga, kwani huwa wanafungwa na nani... uzuzu ni sifa ya ndani ya Makolo
Uzuzu ni jina lenu jipya kutoka kwa mjomba wenu Magoma...

Kama hujawahi kupigwa na mnyama kile kipigo ndembendembe basi uje hapa tubishane..tena kwa muda mrf kipigo cha fedhea hamjawahi kukilipa mpk leo...
 
Uzuzu ni jina lenu jipya kutoka kwa mjomba wenu Magoma...😃😃
Yaani kama Yanga ni Zuzu halafu inakupiga goli 5, saaa sijui Kolo tukuitaje 🤣🤣🤣🤣🤣
 
WW ni zuzu tuu..maana kama kupigwa na mnyama ushapigwa sana labda ulikua hujazaliwa...mtoto wa afu mbili na ishirini...yani 5 unaona ni ajabu...wakati mmekula 5 mara mbili na 6 juuu...
 
Uzuzu ni jina lenu jipya kutoka kwa mjomba wenu Magoma...

Kama hujawahi kupigwa na mnyama kile kipigo ndembendembe basi uje hapa tubishane..tena kwa muda mrf kipigo cha fedhea hamjawahi kukilipa mpk leo...
Hiyo haiifutii YANGA kuwa na historia ya kuchukua Ubingwa mara nyingi kuliko Mwakarobo, kifo cha mende
 
WW ni zuzu tuu..maana kama kupigwa na mnyama ushapigwa sana labda ulikua hujazaliwa...mtoto wa afu mbili na ishirini...
SIkatai Mimi Zuzu nayokupiga Mwakarobo goli 5
WW ni zuzu tuu..maana kama kupigwa na mnyama ushapigwa sana labda ulikua hujazaliwa...mtoto wa afu mbili na ishirini...yani 5 unaona ni ajabu...wakati mmekula 5 mara mbili na 6 juuu...
 
Attachments

  • images (91).jpeg
    images (91).jpeg
    56.4 KB · Views: 1
Hiyo haiifutii YANGA kuwa na historia ya kuchukua Ubingwa mara nyingi kuliko Mwakarobo, kifo cha mende
Umehama? Sisi tuna makombe mengi kwa ujumla...kama mmekalia hapo ligi kuu..basi nyie waoga wa mashindano...😃😃
 
Sisi hatuwezi kuwa waoga lakini pia Ushindi wetu sio Robo fainali ewe Mwakarobo🤣🤣🤣🤣

Dogo ushajiona ulivyo zuzu..basi case closed...
Ref...5-0
6-0
4-1
4-0
2-0
Basi huna haja ya kucheka sana maana ushalambwa hapo nyuma na mnyama...
😊😊😊😊😊😊
Mama, mimi bado naendelea kukulamba leo na kesho Mwakarobo.....!
 
Sisi hatuwezi kuwa waoga lakini pia Ushindi wetu sio Robo fainali ewe Mwakarobo🤣🤣🤣🤣
Robo ndo zimekufanya na ww ukavutwa ukabebwa kuja mashindananoni...tumia akili...
Robo ndo zimetufanya tupo namba 7 kwa ubora..
Ww hyo fainali moja imekufikisha wapi
 
Akili tunazotumia ndio za kuwasokota Makolo tutakavyo....hilo swali nilipaswa kukuuliza Kolo, hizo Robo zimewahi kuwafikisha wapi?🤣
 
Tupo juu tunawapumulia huko kwenye rank za CAF...au unataka tuwanyee kabisa ndo ushtuke..😃😃😃
 
Robo ndo zimekufanya na ww ukavutwa ukabebwa kuja mashindananoni...tumia akili...
Robo ndo zimetufanya tupo namba 7 kwa ubora..
Ww hyo fainali moja imekufikisha wapi
Mwakarobo, Robo fainali sio Ushindi wa kujisifia...waambie na Kolo wengine akina OKW BOBAN SUNZU 🤣🤣🤣 tatizo atakimbia hapa
 
Rekodi nzuri isiyosahaulika ni hizi za sasa ambazo zipo kwny mindset bado...5 : 0
Kazi ya rekodi ni kuweka kumbukumbu hivyo kama rekodi zipo tutaendelea kuwakumbusha...kuwa hakuna jipya ambalo mnyama hajawahi fanya...
 
Back
Top Bottom