Kwanini huwa Yanga wanaisema Simba sana katika midomo yao kuliko hata timu yao Yanga?

Tano mlishafirimbwa...usijisahaulishe..tatizo lenu ni ulimbukeni...
Sasa kama sisi malimbukeni na tunakupiga hizo zote tena majuzi...ninyi mtakuwa nani????🀣🀣🀣
 
Sasa kama sisi malimbukeni na tunakupiga hizo zote tena majuzi...ninyi mtakuwa nani????🀣🀣🀣
Aaahhh naona unarudia mada...ngoja nikalale...
Kweli ww ni chura kiziwi..πŸ˜€πŸ˜€
Kwahyo unataka tena na mm nirudie mmeshakula 5...6..4
Uzi si utajaa marudio...
Ulimbukeni ni kurudia rudia mada hyo hyo ni kama vile mlibahatisha kumfunga mnyama...yani ni kama ndoto yenu ya muda mrf sasa imetimia ndo maana kila siku ni 5...na mimi nakukumbusha hata nyie mlizila 5..bado hamjavunja rekodi ya 6 kwa 0...
Uwe na usiku mwema utopolo wa head wee
Azarel aka chura kiziwi..
 
Usilale Kolo, Yanga Bingwa hata ubwabwaje vipi
 
Mwakarobo Mwakatano kiboko yako ni Yanga tu ..ongezeni Usajili tena 🀣🀣🀣
 
Ila mmekuwa kama wachawi maana mnatumia nguvu kubwa kuwasena waliojifia.
 
Ila mmekuwa kama wachawi maana mnatumia nguvu kubwa kuwasena waliojifia.
Yaani hawa hatujali kama tunatumia nguvu kubwa ua ndogo. Sisi ni kuwasema mwanzo mwisho. Si unakumbuka kuna siku wana Yanga tulikuwa na session ya lisaa limoja la kuwakera 5imba..!!? Hawa tunao miaka 1000. Na wakitolea na wale waarabu wa Tripoli kwenye level hii, watafute dunia yao ya kuishi. Maana tutawasema hadi wafe upya..!!
 
Bana ww Azarel najua wajua na nimeshakujuza zaidi...faida ya hizo robo..kama hujaziona basi fainali yako ungekua kileleni muda huu...
Waambie robo robo ndio zimeifanya Simba kuwa timu namba 6 Bora Africa Kwa msimu 24/25.
 
Tuanze na wewe hapo umeitaja timu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…