Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekanaje mwanajeshi awekwe ndani kituo cha polisi,akafungwe na raia? Kumbukeni,polisi ni raia wa kawaida,na yupo chini ya uangalizi wa utawala wa kiraia si wa kijeshi.
Navojua mimi,hiyo kesi ingehusisha wanajeshi,ilikuwa wafungwe na Military Police,na wanajeshi hao ndo wangekuwa mstari wa mbere.
Kama ni tofauti,basi kuna shida somewhere.
Baada ya kukamatwa,uongozi wa jeshi ungetaarifiwa,na wahusika wangefatwa na MP. Labda wanajeshi bandia,au lile jeshi la mtu mmoja.
Source ni saikolojistWatu wafupi tunapend sifa toka lini?
Hahahahaha, sawa sawa, nini maoni yako CDF wa baadaeKuna mtu alisema kuanzia intake ya 40 hakuna askari😂😂 tofauti na walioenda Special F.😥
Acheni uongo height bado ni muhimu sana kwa baadhi ya vitengo vya usalama..Mfano huwezi kuwa body guard mfupi kama nyundo, mazingira halisi ya vita etc..yanahitaji physicality kiasi chake, kuna kukwepa viunzi, mizigo mizigo, kuna hand to hand combat - urefu na training vinampa askari faida kuliko mfupi kupita kawaidaWakati nyie uvutaji bangi, sugu mikononi, mwili uliokakama (siyo kujengeka), namaanisha uliokakamaa kwa maisha magumu, yasiyo na viwango na kufanya kazi nzito za kujikimu ndiyo kigezo cha mtu kuchaguliwa kwenda kwenye mafunzo ya ukomando, wenzetu wanaangalia utimamu wa mwili, na uwezo mkubwa wa kiakili, kujiheshimu na kuheshimu wengine, utaifa, uvumilivu, reasoning etc
Kwa upepo wa hii case ulivyo ni ngumu mkuu kutokea jambo hilo.Mara ghafla papaaaa wanaachiwa huru ..... hamna mlalamikaji na jamhuri imeamua kuachana na mashtaka hayo
Uliposema KM umenikumbusha mzee wangu kwani alikuwa hivyo.Bwana Nyundo hapo yupo na KM wawili
KM ni askari kikosi maalaum wa Magereza ambao wanakazi ya kudeal na wahalifu wakubwa
KM iliasisiwa kikosi cha Ukonga Miaka mingi iliopita chini ya Mwasisi wake Late SACP Conrad Tesha
Kikosi kiliundwa baada ya ongezeko la wafungwa watukutu walokua wakipiga askari wa lindo magerezani ( wardens & corporals)
KIKOSI MAALUM ( Raia wanaita Makomando wa Magereza )
Ni moja ya vikosi imara ambavyo Askari hupitia mafunzo mbalimbali ya utimamu wa mwili na mapigano
Askari mara nyingi atakua na sifa kama hizi
5.5 ft+
Well physical body
Sharp Decision making
JWTZ na Urefu
Kua na angalau 5ft ni advantage lakini sio kigezo cha lazima
Askari wafupi zaidi ni special na wanapendelewa zaidi kama Inflantry
UTUKUTU NA COMMANDO COURSE
Kwenye medani kuna dhana kwamba a good soldier cant be a commando cant be a warrior
Kwa maana so called GOOD SOLDIER hawa ni wale ambao wako obedient sana nidhamu ya kijeshi ni A+ hawawezi kua askari watendaji wazuri hususani kwenye Uwanja wa Vita
Askari ambaye anaharibu sana kazi anafaa kwenda SF kwa sababu SF inahitaji zaidi utendaji kuliko uongozi
No wonder Dogo walimbakiza kama Instructor RTS MSATA
Ungeacha kuandika tu.Usilolijua ni kama usiku wa Giza , Giza, Tena Giza nene, Totoro.
Sometime ukiwa mbumbumbu Kila kitu unakuwa unapenda kuhoji na ukipewa majibu huridhiki nayo coz pindi unapouliza tu majibu unayo!
Naweza kukubaliana na wewe.Bado haupo sahihi mkuu, hao ni polisi.
Je endapo walipelekwa mahabusu ya magereza kabla hata hatua ya mahakama za kuraia?Wanapeleka watuhumiwa ambao tayari walishasomewa mashtaka na wapo mahabusu ya magereza na siyo mahabusu wenye fresh case ambao wapo vituo vya polisi, hiyo kesi ilikua bado watuhumiwa hawajasomewa mashtaka kwahiyo wanaopeleka mtuhumiwa mahakamani ni polisi baada ya kusomewa mashtaka ndo wanaenda kukabidhiwa magereza kwahiyo KMKM wataanza ku escort kwanzia tarehe inayofata ambayo wamepangiwa baada ya kusomewa mashtaka.
aka DPP hana nia ya kuendelea na mashtakaMara ghafla papaaaa wanaachiwa huru ..... hamna mlalamikaji na jamhuri imeamua kuachana na mashtaka hayo
Nijuavyo hua wanatii kwakua wanajua makosa yanaongezeka akikimbia ingawa anaweza kutokana na uzito wa kosa,ila wanauwezo wakutoroka iwapo kwake anaona hachimoki kwenye hilo kosa nakwenda ishi hata nje ya nchi,kwa Dar kupotea ni rahisi sana kutokana na kua na njia nyingi zakuondokea ila hilo ni wazo lake la akiba,so pingu hufungwa km njiayakukuzuia usiweze toroka nahuyo jamaa anajua njia zote zakuifunguaHuyo dogo inasemekana kwenye mafunzo ya ujeda alishangaza kutokana na ufupi wake ikabidi wamchukue ili wampeleke kujifunza ukomandoo, upo uzi humu unaelezea sifa zake ikiwa ni pamoja na bangi kwa sana
Hapo unanijibu mimi au unajibu ulichojisikia kuandika?Acheni uongo height bado ni muhimu sana kwa baadhi ya vitengo vya usalama..Mfano huwezi kuwa body guard mfupi kama nyundo, mazingira halisi ya vita etc..yanahitaji physicality kiasi chake, kuna kukwepa viunzi, mizigo mizigo, kuna hand to hand combat - urefu na training vinampa askari faida kuliko mfupi kupita kawaida
Magereza hawapokei mahabusu bila amri ya mahama lazima rumande warrant iwepoJe endapo walipelekwa mahabusu ya magereza kabla hata hatua ya mahakama za kuraia?
Cha magereza ni KMKGMNimeelewa sasa
Ila sio KMKM ni kikosi cha kuzuia na kupambana na Magendo Zanzibar ni KM MAGEREZA
Mkuu,kukamatwa ni kawaida. Na kila mmoja anajua kutokana na kosa lake,akishikwa na Polisi lazima atii,ila nachojua mimi,hupelekwa au kuwekwa ofisi ya mtu,na kutaarifu jeshi,ampapo MP tu ndo yenye mamlaka ya kumfata. Akiwekwa ndani kituo cha Polisi,basi hilo jeshi ujue lina kasoro kwenye uongozi wake. Kuna nchi nyigine ikitokea hivo,akijisalimisha Polisi,kuepuka kufanyiwa unyama na raia,atasubilia akiwa kituoni. Au akisema sitoki na nyie,watamlindia alipo mpaka MP waje. Mwanajeshi sio Polisi.Komandoo wa JWTZ Kikosi cha Ngerengere mbaroni kwa mauaji
Umofia Kwenu wana JF, Mwalimu wa Makomandoo kikosi cha 94KJ Ngerengere anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la mauaji. Chanzo cha mauaji ni wivu wa kimapenzi. MWALIMU wa makomandoo katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kikosi cha 94 KJ kilichopo Ngerengere mkoani Morogoro, Luteni...www.jamiiforums.com
Mmmh ngoja inyeshe tuone panapo vuja...Tumepigwa
Mkuu,ebu nieleweshe kidogo.Mkuu mwanajeshi anakabiliwa na sheria zote mbili, za kiraia na kijeshi.
Kokote akipatikana na hatia anahukumiwa na kutumikia adhabu.
Akifanya makosa ya kijeshi yasiyo ya mauaji kambini, kama ulivyosema atahukumiwa kambini.
Kesi ya mauaji yasiyo ya 'active service' akiyafanya kambini pamoja na kesi za jinai au za madai za mitaani, anaburutwa mahakama kwa kina 'hakimu mkazi' kama kawaida na adhabu anatumikia.
Kifupi ni hivyo.