kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Zelewesk (nyundo)Huyo dogo inasemekana kwenye mafunzo ya ujeda alishangaza kutokana na ufupi wake ikabidi wamchukue ili wampeleke kujifunza ukomandoo, upo uzi humu unaelezea sifa zake ikiwa ni pamoja na bangi kwa sana