To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Na hatutosema kitu...hii ndo TzMara ghafla papaaaa wanaachiwa huru ..... hamna mlalamikaji na jamhuri imeamua kuachana na mashtaka hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hatutosema kitu...hii ndo TzMara ghafla papaaaa wanaachiwa huru ..... hamna mlalamikaji na jamhuri imeamua kuachana na mashtaka hayo
HahahahahaNawaza jamaa amekuaje mwanajeshi na yuko kess than futi 5
Sure kwa ufupi wake hafiki futi tano bado nawaza sana hata wenzetu huko wanabid watushangae kidgoHahahahaha
wanatuchafua watu wa arsenalHiyo jezi ni ajax watu wameedir ukiangalia video utaona vizuri
Wanasema huyo ni special,Sure kwa ufupi wake hafiki futi tano bado nawaza sana hata wenzetu huko wanabid watushangae kidgo
Mkuu hili usishangae kabisa na linawezekana nchii hii!Mara ghafla papaaaa wanaachiwa huru ..... hamna mlalamikaji na jamhuri imeamua kuachana na mashtaka hayo
Special case ndo katuletea connectionWanasema huyo ni special,
Huyo nyundo ni hatari ni mkufunzi , wenzie hawakua na ulinzi maalum ila yeye kapewa special careSure kwa ufupi wake hafiki futi tano bado nawaza sana hata wenzetu huko wanabid watushangae kidgo
Siyo lazima kufungwa pinguNimeangalia katika TV na mitandao ya kijamii, nimeona huyo anayeitwa mwanajeshi hajafungwa pingu. Ninachofahamu, mtuhumiwa akiingia katika chumba cha mahakama, ndio pingu hutolewa.
Lakini kwa huyu ni tofauti, na pia ni kama alikuwa kaambatana na watu wawili wasiofahamika, mmoja ana tisheti nyekundu..
N.B: wale waliokuwa wanasema mwanajeshi lazima awe mrefu leo mtajificha wapi? Wana arsenal mpooo!
Pia soma:
Kuna JW mmoja na magereza mmojaYule mama alietumbuliwa alisema wanamgambo mbona nimeona kama kuna Wanajeshi wawili?. Wananchi tupige kelele kama wanataka kupindisha ukweli kuhusu AFANDE aliewatuma basi waachie na hao vijana. POLISI NI WATAALAMU WA KUBAMBIKA KESI.Kun
Ongezea connectionndiyo kigezo cha mtu kuchaguliwa kwenda kwenye mafunzo ya ukomando,
Nataka niongee na mchepuko wangu lakini Sina vocha kabisa...Huo mkono alipomshika, hafurukuti na akileta za kuleta anammaliza kwenye hilo eneo alilomshika. Kajamaa kweli bangi sura tu inaonyesha na kalivyo, msichana wa watu alipitia mateso makubwa sana.
Kuna kitu hapoNimeangalia katika TV na mitandao ya kijamii, nimeona huyo anayeitwa mwanajeshi hajafungwa pingu. Ninachofahamu, mtuhumiwa akiingia katika chumba cha mahakama, ndio pingu hutolewa.
Lakini kwa huyu ni tofauti, na pia ni kama alikuwa kaambatana na watu wawili wasiofahamika, mmoja ana tisheti nyekundu..
N.B: wale waliokuwa wanasema mwanajeshi lazima awe mrefu leo mtajificha wapi? Wana arsenal mpooo!
Pia soma: