Ni ushamba kudhani kua mwanajeshi lazima uwe mrefuNawaza jamaa amekuaje mwanajeshi na yuko kess than futi 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ushamba kudhani kua mwanajeshi lazima uwe mrefuNawaza jamaa amekuaje mwanajeshi na yuko kess than futi 5
Kila kitu kina taratibu zake ndo mana jeshini wakati naenda depo mda kidgo tulikua tukipimwa height ukiwa less than 5 ngumu kuchomokaNi ushamba kudhani kua mwanajeshi lazima uwe mrefu
Hahaha. ......kwa nchi hii ambayo wanachama na wana serikali kama ma RC wana Rawithi haishangaziMara ghafla papaaaa wanaachiwa huru ..... hamna mlalamikaji na jamhuri imeamua kuachana na mashtaka hayo
Mkufunzi wa kutatua marinda.....Huyo nyundo ni hatari ni mkufunzi , wenzie hawakua na ulinzi maalum ila yeye kapewa special care
So sad kwa kweli,Ongezea connection
Naomba unitag nichungulie huo uzi mkuuHuyo dogo inasemekana kwenye mafunzo ya ujeda alishangaza kutokana na ufupi wake ikabidi wamchukue ili wampeleke kujifunza ukomandoo, upo uzi humu unaelezea sifa zake ikiwa ni pamoja na bangi kwa sana
Huna connection hauingii hukoSo sad kwa kweli,
HaupoNaomba unitag nichungulie huo uzi mkuu
Alafu hii sifa ya bangi kwa sana ndiyo inaonekana sifa ya kuwa komando.bangi kwa sana
Alikua ana record tu vijana wake Ma-service ndio walitatuaMkufunzi wa kutatua marinda.....
Ndo maana Polisi huwa wanasema bado wanakamilisha ushahidi japo watu huwa wanauliza ushahidi gani wakati video ipo, kumtia mtu hatiani siyo rahisi rahisi hivyo video pekee haitoshi ukizingatia huwenda na ushahidi wa daktari haupo maana binti alibakwa tangu mwezi wa 5, kwahiyo huwezi kuwapeleka na ushahidi wa video peke yake wanakushinda mahakamani mchana kweupe, ni lazima utafutwe ushahidi mwingine unaohusiana na tukio ikiwa na kwenda huko tukio lilipofanyika.Mara ghafla papaaaa wanaachiwa huru ..... hamna mlalamikaji na jamhuri imeamua kuachana na mashtaka hayo
Hao ni polisi siyo KMKM, bado walikua wapo kwenye mahabusu ya polisi hawawezi kukutana na KMKM kabla ya kupelekwa magereza ila baada ya kusomewa kesi zao na kupata CC No ndo hakimu anaandika rumande warrant ili bwana jela awapokee na awape ulinzi hapo sasa ndo wanatoka kwenye mikono ya polisi wanaenda kukutana na askari magereza wanakaa mahabusu ya magereza hadi siku waliyopangiwa tarehe ya kesiBwana Nyundo hapo yupo na KM wawili
KM ni askari kikosi maalaum wa Magereza ambao wanakazi ya kudeal na wahalifu wakubwa
KM iliasisiwa kikosi cha Ukonga Miaka mingi iliopita chini ya Mwasisi wake Late SACP Conrad Tesha
Kikosi kiliundwa baada ya ongezeko la wafungwa watukutu walokua wakipiga askari wa lindo magerezani ( wardens & corporals)
KIKOSI MAALUM ( Raia wanaita Makomando wa Magereza )
Ni moja ya vikosi imara ambavyo Askari hupitia mafunzo mbalimbali ya utimamu wa mwili na mapigano
Askari mara nyingi atakua na sifa kama hizi
5.5 ft+
Well physical body
Sharp Decision making
JWTZ na Urefu
Kua na angalau 5ft ni advantage lakini sio kigezo cha lazima
Askari wafupi zaidi ni special na wanapendelewa zaidi kama Inflantry
UTUKUTU NA COMMANDO COURSE
Kwenye medani kuna dhana kwamba a good soldier cant be a commando cant be a warrior
Kwa maana so called GOOD SOLDIER hawa ni wale ambao wako obedient sana nidhamu ya kijeshi ni A+ hawawezi kua askari watendaji wazuri hususani kwenye Uwanja wa Vita
Askari ambaye anaharibu sana kazi anafaa kwenda SF kwa sababu SF inahitaji zaidi utendaji kuliko uongozi
No wonder Dogo walimbakiza kama Instructor RTS MSATA
Umechanganya siongelei KMKM nmeongelea KM wanahusika kuserve High criminal suspectsHao ni polisi siyo KMKM, bado walikua wapo kwenye mahabusu ya polisi hawawezi kukutana na KMKM kabla ya kupelekwa magereza ila baada ya kusomewa kesi zao na kupata CC No ndo hakimu anaandika rumande warrant ili bwana jela awapokee na awape ulinzi hapo sasa ndo wanatoka kwenye mikono ya polisi wanaenda kukutana na askari magereza wanakaa mahabusu ya magereza hadi siku waliyopangiwa tarehe ya kesi