Kwanini huyu anayesemekana kuwa ni mwanajeshi anayetuhumiwa kubaka alikuwa hajafungwa pingu? Na hao waliokuwa wanaongozana naye ni akina nani?

 
Acheni uongo height bado ni muhimu sana kwa baadhi ya vitengo vya usalama..Mfano huwezi kuwa body guard mfupi kama nyundo, mazingira halisi ya vita etc..yanahitaji physicality kiasi chake, kuna kukwepa viunzi, mizigo mizigo, kuna hand to hand combat - urefu na training vinampa askari faida kuliko mfupi kupita kawaida
 
Uliposema KM umenikumbusha mzee wangu kwani alikuwa hivyo.

Endelea kupumzikia kwa amani.
 
Watu wafupi wanapenda fujo sanaa ona sasa icho kijamaa kinavoenda kuozea jela
 
Usilolijua ni kama usiku wa Giza , Giza, Tena Giza nene, Totoro.
Sometime ukiwa mbumbumbu Kila kitu unakuwa unapenda kuhoji na ukipewa majibu huridhiki nayo coz pindi unapouliza tu majibu unayo!
Ungeacha kuandika tu.
 
Je endapo walipelekwa mahabusu ya magereza kabla hata hatua ya mahakama za kuraia?
 
Huyo dogo inasemekana kwenye mafunzo ya ujeda alishangaza kutokana na ufupi wake ikabidi wamchukue ili wampeleke kujifunza ukomandoo, upo uzi humu unaelezea sifa zake ikiwa ni pamoja na bangi kwa sana
Nijuavyo hua wanatii kwakua wanajua makosa yanaongezeka akikimbia ingawa anaweza kutokana na uzito wa kosa,ila wanauwezo wakutoroka iwapo kwake anaona hachimoki kwenye hilo kosa nakwenda ishi hata nje ya nchi,kwa Dar kupotea ni rahisi sana kutokana na kua na njia nyingi zakuondokea ila hilo ni wazo lake la akiba,so pingu hufungwa km njiayakukuzuia usiweze toroka nahuyo jamaa anajua njia zote zakuifungua
 
Hapo unanijibu mimi au unajibu ulichojisikia kuandika?
 
Ntafarijika sana nikimuoma huyo mama aliyewaagiza hawa wahuni kumwingilia binti mbele nyuma na mdomoni kwa zamu kiasi akataka hata kutapika mauchafu yao na kuomba maji.

ATapatikana tu, hii mambo ni moto; shosti wake kashanyolewa tayari anakwenda kusoma magazeti makao makuu.
 
Mkuu,kukamatwa ni kawaida. Na kila mmoja anajua kutokana na kosa lake,akishikwa na Polisi lazima atii,ila nachojua mimi,hupelekwa au kuwekwa ofisi ya mtu,na kutaarifu jeshi,ampapo MP tu ndo yenye mamlaka ya kumfata. Akiwekwa ndani kituo cha Polisi,basi hilo jeshi ujue lina kasoro kwenye uongozi wake. Kuna nchi nyigine ikitokea hivo,akijisalimisha Polisi,kuepuka kufanyiwa unyama na raia,atasubilia akiwa kituoni. Au akisema sitoki na nyie,watamlindia alipo mpaka MP waje. Mwanajeshi sio Polisi.
 
Mkuu,ebu nieleweshe kidogo.
-JWTZ haina mahakama na wanasheria?
-Je,unakubaiana na mimi,mwanajeshi awapo kazini,analindwa na sheria za jeshi siyo za kiraia!
-Jeshi lina sero zake au linaombaga hifadhi vituo vya polisi?Anyway,huenda una uelewa,ila nachojua,mahakama ya jeshi inafuata katiba na wakati kesi ikiendelea,raia wanaruhusiwa kufatilia kesi mahakama ya jeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…