Inabidi atuweke wazi maana hata umri wake unatia mashaka kwa kweli.
Hii hamu ya kuwekwa wazi imekuja baada ya kusikia jamaa kafanya vizuri huko mbele sio?
Sasa kaanza kuwa maarufu mnaanza kumchimba.
Hii haki uliyojipatia ya "Inabidi atuweke wazi" umeitoa wapi?
Huu ndio uwezo wetu wabongo... Kutafuta madoa na negativityWanandugu leo katika pita pita zangu nikasema ngoja niangalie boxing records za huyu ndugu yetu Hassan Mwakinyo lakini cha ajabu nikakuta anaitwa Halfan Hythan Hamza, sasa nimeshindwa kuelewa hilo jina la Hassan Mwakinyo amelitolea wapi? Au anatumia cheti cha mtu maana anadai ana miaka 23 lakini ukimuangalia sura inaonesha kabisa yupo kwenye 30+ huko.
Ila kingine ninachomkubali huyu ninja amewachana wale wote wanaojifanya wanamjua jua na kujifanya watu wake wa karibu wakati alipata shida hata namna kusafiri ili akapambane aliwekewa kila aina ya vigingi lakini Mungu akamsaidia akafanikisha safari na akaenda kufanya alichokifuata kule Uingereza.
Miongoni mwa watu waliojifanya wanamjua jua sana Mwakinyo ni pamoja na waziri Mwakyembe ambaye bila aibu anadai kuwa wanafahamiana siku nyingi jambo ambalo sio la kweli bali ni unafiki mtupu.
Hassan atapanda tena ulingoni mwezi october kupambana na Wanik Awdijan raia wa Ujerumani.
Swali linabaki pale pale jina la Hassan Mwakinyo limetoka wapi wakati jina lake ni Halfan Hamza , kama angekuwa na jina la kikristo kidogo isingekuwa kuwa tabu maana tungejua huenda amebadili dini na kuwa muislamu , sasa shida ni kwamba majina yote ni ya kiislamu, ambao mnamjua huyu bondia embu toleeni ufafanuzi kidogo suala hili.View attachment 866189View attachment 866190
Wewe ni takataka kabisaTatizo jina sio lake.
anatumia jina la baba mzaa mama kwasababu yeye ni mtoto wa pili kwao.
Ha ha ha kweli aiseemchawi huyo
na ndio lugha zao...
Tatizo jina sio lake ,huenda anatumia cheti feki pia .
Sio kweli bwanaa! Hassan ndio jina lake halisi na mwakinyo ndio jina LA mzee wake tunalolijua! Na Ana kaka ake anaitwa hamisi mwakinyo! Na wote ni mabondia! Japo kaka ake hakuwa maarufu km huyu mdogo MTU! Na hata mzee mwakinyo pia alikuwa anacheza ndondi!Hassan Mwakinyo ni aka tu! Hilo limetokana na rafiki yake anaitwa Hashim Mwakinyo ambaye anapigana kick Boxing. so jamaa ni role model wake Ndio maana anatumia jina hilo!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Muacheni jamaa bana mbona mnaanza kumtia nuksi. Jamaa kapambana kivyake leo mnajifanya kumfuatilia...
Achana naye...Inabidi atuweke wazi maana hata umri wake unatia mashaka kwa kweli.
Yaani watu wengine sijui wakoje?? Wakiona mtu kaanza kufanikiwa tu hawaishi kuwanga...Baada ya Hapo ...
Maana hicho sio cheti mseme amegushi labda hapana ...
Yule kampa mtu vitasa ... Yaani ngumi tena za maana na nyie mmeona wenyewe kwa Macho yenu kwenye vyombo vya habari ...
Sasa je inawezekana mtu akagushi ngumi?
Jina sisi linatuhusu nini hapa ... afu ukisha lijua then what ... !!!!
kwani wewe ni mama yake?Tatizo jina sio lake.
Ameghushi ngumi😀😀😀Baada ya Hapo ...
Maana hicho sio cheti mseme amegushi labda hapana ...
Yule kampa mtu vitasa ... Yaani ngumi tena za maana na nyie mmeona wenyewe kwa Macho yenu kwenye vyombo vya habari ...
Sasa je inawezekana mtu akagushi ngumi?
Jina sisi linatuhusu nini hapa ... afu ukisha lijua then what ... !!!!
ndiokwani wewe ni mama yake?
Hapo sasaMuacheni jamaa bana mbona mnaanza kumtia nuksi. Jamaa kapambana kivyake leo mnajifanya kumfuatilia...