Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Wewe mwanaume wa Dar ndo unatuchafulia nchì alafu wewe si unakaa NjaroAtatuchafulia nchi yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwanaume wa Dar ndo unatuchafulia nchì alafu wewe si unakaa NjaroAtatuchafulia nchi yetu.
Mshaanza kumletea uchawi....wabongo bana uchawi uchawi tuuu😬 haya sasa tuseme ana miaka 35 na anatumia cheti cha mtu then what u gonna do?Wanandugu leo katika pita pita zangu nikasema ngoja niangalie boxing records za huyu ndugu yetu Hassan Mwakinyo lakini cha ajabu nikakuta anaitwa Halfan Hythan Hamza, sasa nimeshindwa kuelewa hilo jina la Hassan Mwakinyo amelitolea wapi? Au anatumia cheti cha mtu maana anadai ana miaka 23 lakini ukimuangalia sura inaonesha kabisa yupo kwenye 30+ huko.
Ila kingine ninachomkubali huyu ninja amewachana wale wote wanaojifanya wanamjua jua na kujifanya watu wake wa karibu wakati alipata shida hata namna kusafiri ili akapambane aliwekewa kila aina ya vigingi lakini Mungu akamsaidia akafanikisha safari na akaenda kufanya alichokifuata kule Uingereza.
Miongoni mwa watu waliojifanya wanamjua jua sana Mwakinyo ni pamoja na waziri Mwakyembe ambaye bila aibu anadai kuwa wanafahamiana siku nyingi jambo ambalo sio la kweli bali ni unafiki mtupu.
Hassan atapanda tena ulingoni mwezi october kupambana na Wanik Awdijan raia wa Ujerumani.
Swali linabaki pale pale jina la Hassan Mwakinyo limetoka wapi wakati jina lake ni Halfan Hamza , kama angekuwa na jina la kikristo kidogo isingekuwa kuwa tabu maana tungejua huenda amebadili dini na kuwa muislamu , sasa shida ni kwamba majina yote ni ya kiislamu, ambao mnamjua huyu bondia embu toleeni ufafanuzi kidogo suala hili.View attachment 866189View attachment 866190
Kwa Hiyo na ww mkuu, ukaona utuchanganye kabisaanatumia jina la baba mzee mama kwasababu yeye ni mtoto wa pili kwao.
Huyo Ali alibadili dini .Majina yake sio issue....
Issue ni makonde anayorusha...
Je unafahamu kwamba Mwamedi Ali .....aliwahi kuitwa Clayton Clay.....mwanzoni
Anaishi pekeake MkuuHakuna mtu wa karibu anayeishi na huyu jamaa?
Inawezekana kabisa ndo umri wake kwani ngumi hazina kutegea, angekuwa mtu mzima angeipata fresh mingumi ya uso.Inabidi atuweke wazi maana hata umri wake unatia mashaka kwa kweli.
Nimefuatilia post zako nyingi zinahusu maisha ya watu binafsi,kuna uwezekano mkubwa ukawa na vinasaba vya kike kikeInashangaza sana kwa kweli, inabidi tumchunguze kwa makini la sivyo avuliwe ubingwa.
Kabisa mkuu.RITA wafanye uhakiki wa cheti chake cha kuzaliwa.
Uhamiaji wafanye uhakiki wa uraia wake
Unajua upo jukwaa lipi?Nimefuatilia post zako nyingi zinahusu maisha ya watu binafsi,kuna uwezekano mkubwa ukawa na vinasaba vya kike kike
😀Kabisa mkuu.
wenye kupigana kuna vyeti? nenda na PHD zako uone darasa la saba watakavyo kungoa tayaTatizo jina sio lake.