Kwanini huyu bondia Mtanzania aliyeshinda Uingereza anajiita Hassan Mwakinyo?

Kwanini huyu bondia Mtanzania aliyeshinda Uingereza anajiita Hassan Mwakinyo?

Amemfumua Mzungu ka kashusha umri huu ni ukimwi wa kurogwa Mwakinyo kaonyeshwa live Skysport akitoa knock kwa Champion.the rest is history.
 
Inashangaza sana kwa kweli, inabidi tumchunguze kwa makini la sivyo avuliwe ubingwa.
Aisee yaani bora ajipange na kuacha uongo maana it will cost him later anaweza kuvuliwa hata akipata mkanda itakuwa aibu kubwa na fedheha
Hiyo sura sio ya 23 kabisa lakini Mungu amsaidie maana wazungu wana hasira nae sana waliopoteza hela zao
 
Aisee yaani bora ajipange na kuacha uongo maana i will cost him later anaweza kuvuliwa hata akipata mkanda itakuwa aibu kubwa na fedheha
Hiyo sura sio ya 23 kabisa lakini Mungu amsaidie maana wazungu wana hasira nae sana waliopoteza hela zao
Ni kweli kabisa aisee.
 
Tanzania kubadilisha majina kawaida hata Bashite anajiita Makonda nae.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Aisee yaani bora ajipange na kuacha uongo maana it will cost him later anaweza kuvuliwa hata akipata mkanda itakuwa aibu kubwa na fedheha
Hiyo sura sio ya 23 kabisa lakini Mungu amsaidie maana wazungu wana hasira nae sana waliopoteza hela zao
Nadhani unafikiri mambo kupigana ni kama kuwa karani ofisini. Ngumi huchakaza. Mdogo unaonekana mzee.
 
23?? Duuu!
Wabongo acheni mtimanyongo, mambo age cheating kwenye African sports even S America ni vitu kawaida na wala hawawekeani jealous kama sisi.
Mwacheni msela atuwakilishe huko, je mnakumbuka South Africa na akina Malema walivyo pambana khs gender issue ilivyo mwandama Caster Semenya?

Sasa iweje wa Tz tuache kumsapoti badala yake tunamwanzishia majungu ndugu yetu? This must stop immediately
 
Mbona kuna mmoja hatuja pewa majibu mpaka Leo jamani?Je anaitwa Paul au Daudi?
 
Haina maana sana mzee kujua jina lake..kikubwa si tunataka awalishe mabwanyenye vitasa tu maswala ya majina kamili sisi tupambane na bashite tu wallah tusimchoshe dogo kwa maswali saana afu pia Watanzania tuache kushobokea watu wakifanikiwa kila mtu anajifanya anamjua huyu mtu
 
Baada ya Hapo ...

Maana hicho sio cheti mseme amegushi labda hapana ...

Yule kampa mtu vitasa ... Yaani ngumi tena za maana na nyie mmeona wenyewe kwa Macho yenu kwenye vyombo vya habari ...

Sasa je inawezekana mtu akagushi ngumi?

Jina sisi linatuhusu nini hapa ... afu ukisha lijua then what ... !!!!
[emoji23] [emoji23] kweli na hizo ngumi hazihitaji cheti cha form4 ndiyo upigane. Kwanza kajiweka wazi kimalikia hakipandi ana mkalimani
 
Back
Top Bottom