Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Amemfumua Mzungu ka kashusha umri huu ni ukimwi wa kurogwa Mwakinyo kaonyeshwa live Skysport akitoa knock kwa Champion.the rest is history.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza sana kwa kweli, inabidi tumchunguze kwa makini la sivyo avuliwe ubingwa.Hata mimi nililiona hili lakini nikajua ni muendelezo wa majina feki kama kawaida kwani hakuanza yeye
Kivipi mkuu?Mwakinyo kaunga undugu Na kina Mwakyembe
Aisee yaani bora ajipange na kuacha uongo maana it will cost him later anaweza kuvuliwa hata akipata mkanda itakuwa aibu kubwa na fedhehaInashangaza sana kwa kweli, inabidi tumchunguze kwa makini la sivyo avuliwe ubingwa.
Ni kweli kabisa aisee.Aisee yaani bora ajipange na kuacha uongo maana i will cost him later anaweza kuvuliwa hata akipata mkanda itakuwa aibu kubwa na fedheha
Hiyo sura sio ya 23 kabisa lakini Mungu amsaidie maana wazungu wana hasira nae sana waliopoteza hela zao
Mwakinyo kaunga undugu Na kina Mwakyembe
Nimecheka sana...tatizo liko wapi kwani anadaiwa vyeti
Nadhani unafikiri mambo kupigana ni kama kuwa karani ofisini. Ngumi huchakaza. Mdogo unaonekana mzee.Aisee yaani bora ajipange na kuacha uongo maana it will cost him later anaweza kuvuliwa hata akipata mkanda itakuwa aibu kubwa na fedheha
Hiyo sura sio ya 23 kabisa lakini Mungu amsaidie maana wazungu wana hasira nae sana waliopoteza hela zao
Lakini sura inaonekana kabisa kakomaaNadhani unafikiri mambo kupigana ni kama kuwa karani ofisini. Ngumi huchakaza. Mdogo unaonekana mzee.
Wabongo acheni mtimanyongo, mambo age cheating kwenye African sports even S America ni vitu kawaida na wala hawawekeani jealous kama sisi.23?? Duuu!
[emoji23] [emoji23] kweli na hizo ngumi hazihitaji cheti cha form4 ndiyo upigane. Kwanza kajiweka wazi kimalikia hakipandi ana mkalimaniBaada ya Hapo ...
Maana hicho sio cheti mseme amegushi labda hapana ...
Yule kampa mtu vitasa ... Yaani ngumi tena za maana na nyie mmeona wenyewe kwa Macho yenu kwenye vyombo vya habari ...
Sasa je inawezekana mtu akagushi ngumi?
Jina sisi linatuhusu nini hapa ... afu ukisha lijua then what ... !!!!