Kwanini huyu bondia Mtanzania aliyeshinda Uingereza anajiita Hassan Mwakinyo?

[emoji23] [emoji23] kweli na hizo ngumi hazihitaji cheti cha form4 ndiyo upigane. Kwanza kajiweka wazi kimalikia hakipandi ana mkalimani
Sasa je ... Bado wanataka jina la Nini sijui au wanataka kumroga nini wamzimishe Nyota aaaaa! Sio fair taratibuni jamani ...

Mazoezi yenyewe mmeona anafanya kwenye tairi la gari ...

Mwacheni bana jina halina nafasi kwenye professional zinazo hitaji performance katika eneo la tukio ...

Hayo Mambo wambie Bashite anaekula kiyoyozi ofisini hatuoni lolote zaidi ya makelele tu ...
 
Kamati ya Roho mbaya ishaanza kazi yake. Wabongo aisee , acha mambo ya kichawi mtoto mdogo, hata ukijua hayo na mengine ukweli utabaki palepale "kapiga mtu" katuletea heshima anastahili pongezi na support kupandisha na si vinginevyo
 
Wanandugu leo katika pita pita zangu nikasema ngoja niangalie boxing records za huyu ndugu yetu Hassan Mwakinyo lakini cha ajabu nikakuta anaitwa Halfan Hythan Hamza, sasa nimeshindwa kuelewa hilo jina la Hassan Mwakinyo amelitolea wapi? Au anatumia cheti cha mtu maana anadai ana miaka 23 lakini ukimuangalia sura inaonesha kabisa yupo kwenye 30+ huko.

Ila kingine ninachomkubali huyu ninja amewachana wale wote wanaojifanya wanamjua jua na kujifanya watu wake wa karibu wakati alipata shida hata namna kusafiri ili akapambane aliwekewa kila aina ya vigingi lakini Mungu akamsaidia akafanikisha safari na akaenda kufanya alichokifuata kule Uingereza.

Miongoni mwa watu waliojifanya wanamjua jua sana Mwakinyo ni pamoja na waziri Mwakyembe ambaye bila aibu anadai kuwa wanafahamiana siku nyingi jambo ambalo sio la kweli bali ni unafiki mtupu.

Hassan atapanda tena ulingoni mwezi october kupambana na Wanik Awdijan raia wa Ujerumani.

Swali linabaki pale pale jina la Hassan Mwakinyo limetoka wapi wakati jina lake ni Halfan Hamza , kama angekuwa na jina la kikristo kidogo isingekuwa kuwa tabu maana tungejua huenda amebadili dini na kuwa muislamu , sasa shida ni kwamba majina yote ni ya kiislamu, ambao mnamjua huyu bondia embu toleeni ufafanuzi kidogo suala hili.View attachment 866189View attachment 866190
Jina lake linakuhusu nini?? Acha umbea..
 
Respect the hustle bro, jina wala umri havikusaidii. Hainakufeli
 
Wabongo kwa ufukunyuku tupo vizuri. Tunatafuta vijimakosa vidogo vidogo ili kupata gia ya kumdhalilisha mtu. Fanya yako mkuu kila mtu apambane kimpango wake
 
Wanandugu leo katika pita pita zangu nikasema ngoja niangalie boxing records za huyu ndugu yetu Hassan Mwakinyo lakini cha ajabu nikakuta anaitwa Halfan Hythan Hamza, sasa nimeshindwa kuelewa hilo jina la Hassan Mwakinyo amelitolea wapi? Au anatumia cheti cha mtu maana anadai ana miaka 23 lakini ukimuangalia sura inaonesha kabisa yupo kwenye 30+ huko.

Ila kingine ninachomkubali huyu ninja amewachana wale wote wanaojifanya wanamjua jua na kujifanya watu wake wa karibu wakati alipata shida hata namna kusafiri ili akapambane aliwekewa kila aina ya vigingi lakini Mungu akamsaidia akafanikisha safari na akaenda kufanya alichokifuata kule Uingereza.

Miongoni mwa watu waliojifanya wanamjua jua sana Mwakinyo ni pamoja na waziri Mwakyembe ambaye bila aibu anadai kuwa wanafahamiana siku nyingi jambo ambalo sio la kweli bali ni unafiki mtupu.

Hassan atapanda tena ulingoni mwezi october kupambana na Wanik Awdijan raia wa Ujerumani.

Swali linabaki pale pale jina la Hassan Mwakinyo limetoka wapi wakati jina lake ni Halfan Hamza , kama angekuwa na jina la kikristo kidogo isingekuwa kuwa tabu maana tungejua huenda amebadili dini na kuwa muislamu , sasa shida ni kwamba majina yote ni ya kiislamu, ambao mnamjua huyu bondia embu toleeni ufafanuzi kidogo suala hili.View attachment 866189View attachment 866190
Bila shaka utakuwa mfuasi wa cdm.
Kila jambo jema au mafanikio lazima uyapinge.
Unajua miaka 30 kwenye masumbwi inamaanisha nini?
 
Inabidi atuweke wazi maana hata umri wake unatia mashaka kwa kweli.
Hii hamu ya kuwekwa wazi imekuja baada ya kusikia jamaa kafanya vizuri huko mbele sio?
Sasa kaanza kuwa maarufu mnaanza kumchimba.
Hii haki uliyojipatia ya "Inabidi atuweke wazi" umeitoa wapi?
 
Hassan Mwakinyo ni aka tu! Hilo limetokana na rafiki yake anaitwa Hashim Mwakinyo ambaye anapigana kick Boxing. so jamaa ni role model wake Ndio maana anatumia jina hilo!
 
Kamati ya Roho mbaya ishaanza kazi yake. Wabongo aisee , acha mambo ya kichawi mtoto mdogo, hata ukijua hayo na mengine ukweli utabaki palepale "kapiga mtu" katuletea heshima anastahili pongezi na support kupandisha na si vinginevyo
Ila ametumia jina ambalo sio lake.
 
Hassan Mwakinyo ni aka tu! Hilo limetokana na rafiki yake anaitwa Hashim Mwakinyo ambaye anapigana kick Boxing. so jamaa ni role model wake Ndio maana anatumia jina hilo!
Umeona sasa, kumbe ameiba jina la mtu.
 
Back
Top Bottom