Kwanini huyu bondia Mtanzania aliyeshinda Uingereza anajiita Hassan Mwakinyo?

Kwanini huyu bondia Mtanzania aliyeshinda Uingereza anajiita Hassan Mwakinyo?

Ngumi za uso zinachakaza jamani.
Kila pambano unapata facial trauma inayoamb atana na kupona kwenye fibrosis kibao.
Lazima uso ukakamae.
Just fuatilia wapiganaji wote Kama utaona mwenye sura inayoendana na umri wake.

Achaneni na makovu ya ndani kwa ndani
 
Watanzania,watanzania, ....mtanzania mwenzenu akifanikiwa kidogo tu...umbea unaanza....!! kama unakubali mafanikio yake kubali tu hilo jina analotumia hivi sasa,...sifikirii kama wewe inakusaidia chochote kama anaitwa Halfan,au Mwakinyo!! hahaha ati naonekana ana miaka 30!! wewe ndio mama ake????😀😀
 
Hii hamu ya kuwekwa wazi imekuja baada ya kusikia jamaa kafanya vizuri huko mbele sio?
Sasa kaanza kuwa maarufu mnaanza kumchimba.
Hii haki uliyojipatia ya "Inabidi atuweke wazi" umeitoa wapi?

mchawi huyo

na ndio lugha zao...
 
Wanandugu leo katika pita pita zangu nikasema ngoja niangalie boxing records za huyu ndugu yetu Hassan Mwakinyo lakini cha ajabu nikakuta anaitwa Halfan Hythan Hamza, sasa nimeshindwa kuelewa hilo jina la Hassan Mwakinyo amelitolea wapi? Au anatumia cheti cha mtu maana anadai ana miaka 23 lakini ukimuangalia sura inaonesha kabisa yupo kwenye 30+ huko.


Ila kingine ninachomkubali huyu ninja amewachana wale wote wanaojifanya wanamjua jua na kujifanya watu wake wa karibu wakati alipata shida hata namna kusafiri ili akapambane aliwekewa kila aina ya vigingi lakini Mungu akamsaidia akafanikisha safari na akaenda kufanya alichokifuata kule Uingereza.


Miongoni mwa watu waliojifanya wanamjua jua sana Mwakinyo ni pamoja na waziri Mwakyembe ambaye bila aibu anadai kuwa wanafahamiana siku nyingi jambo ambalo sio la kweli bali ni unafiki mtupu.

Hassan atapanda tena ulingoni mwezi october kupambana na Wanik Awdijan raia wa Ujerumani.



Swali linabaki pale pale jina la Hassan Mwakinyo limetoka wapi wakati jina lake ni Halfan Hamza , kama angekuwa na jina la kikristo kidogo isingekuwa kuwa tabu maana tungejua huenda amebadili dini na kuwa muislamu , sasa shida ni kwamba majina yote ni ya kiislamu, ambao mnamjua huyu bondia embu toleeni ufafanuzi kidogo suala hili.View attachment 866189View attachment 866190
Huu ndio uwezo wetu wabongo... Kutafuta madoa na negativity

Mavi ya kuku
 
Hassan Mwakinyo ni aka tu! Hilo limetokana na rafiki yake anaitwa Hashim Mwakinyo ambaye anapigana kick Boxing. so jamaa ni role model wake Ndio maana anatumia jina hilo!
Sio kweli bwanaa! Hassan ndio jina lake halisi na mwakinyo ndio jina LA mzee wake tunalolijua! Na Ana kaka ake anaitwa hamisi mwakinyo! Na wote ni mabondia! Japo kaka ake hakuwa maarufu km huyu mdogo MTU! Na hata mzee mwakinyo pia alikuwa anacheza ndondi!
Tuachege kutoa habar tusizozijua...ni kijana mdogo Sana anapenda kupigana sana
 
Baada ya Hapo ...

Maana hicho sio cheti mseme amegushi labda hapana ...

Yule kampa mtu vitasa ... Yaani ngumi tena za maana na nyie mmeona wenyewe kwa Macho yenu kwenye vyombo vya habari ...

Sasa je inawezekana mtu akagushi ngumi?

Jina sisi linatuhusu nini hapa ... afu ukisha lijua then what ... !!!!
Yaani watu wengine sijui wakoje?? Wakiona mtu kaanza kufanikiwa tu hawaishi kuwanga...
 
Acha unafiki wewe yule dogo sio 30+ kwa maisha anayoishi angekuwa juu ya 30 mbona angeonekana?
Vitu vingine tusitafute kiki kupitia kwa wenzetu kama unaona wivi na ww ingia kwenye masumbwi tuone kama hata round moja utamaliza.
 
Labda ana multiple names,.. Mi pia jina nnalotumia ka stage name kwenye boxing (na ndo ambalo watu wengi wanalijua mitaa yote niliyoishi dar) ni lingine na jina langu la kiserikali (Nililosomea shule nikiwa mkoa) ni lingine na usipokua makini unaweza dhani ni watu wawili tofauti coz moja ni la Kiislam na lingine la Kikristo. Afu, hii mada yako haina tija yoyote, nyie ndo anaewaambia "muache kujifanya mnamjua sana".
 
Baada ya Hapo ...

Maana hicho sio cheti mseme amegushi labda hapana ...

Yule kampa mtu vitasa ... Yaani ngumi tena za maana na nyie mmeona wenyewe kwa Macho yenu kwenye vyombo vya habari ...

Sasa je inawezekana mtu akagushi ngumi?

Jina sisi linatuhusu nini hapa ... afu ukisha lijua then what ... !!!!
Ameghushi ngumi😀😀😀
 
Back
Top Bottom