Nimeona ku share ili jambo kwa observation zangu naona rate ya watoto wa kike kuzaliwa ni kubwa sana, dada zetu cku izi kila ukickia kajifungua basi unakuta ni mtoto wa kike!
ktk family level tuko watoto 6 kila mtu ana watoto 2 lakin wote wa kike, washkaj wife kajinfungua unackia ni mtoto wa kike sasa unajiuliza watoto wa kiume hawazaliwi ckui izi je rate vs wa kike ikoje?
Mbegu zinazo zalisha watoto wa kiume ni weak, na zinahitaji nguvu ya ziada kuogelea haraka na kuzi outperform zile za kike! Wana biolojia watatwambia zaidi,
Kwa sababu ya ulaji mbovu na lifestyle za wanaume wa siku hizi, matokeo nikuwa na mbegu chache za kuzalisha wanaume na zinakuwa hazina nguvu.
Mwanaume anashindia chips, akila ugali ni sembe, na vijuice vya dukani integer's nini hapo, familia iloyojaa watoto wa kiume fuatilia ulaji wa baba utaona ukweli wa nisemayo.
Wanaume tubadirike
Wala huhitaji kufanya utafiti, kama ulipitapita shule kidogo utajua sababu yake na wengine hapo juu wamesaidia kutoa majibu ya kitalaamu na ishu sio lifestyle.
Wala huhitaji kufanya utafiti, kama ulipitapita shule kidogo utajua sababu yake na wengine hapo juu wamesaidia kutoa majibu ya kitalaamu na ishu sio lifestyle.