bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,440
Nimeona ku share ili jambo kwa observation zangu naona rate ya watoto wa kike kuzaliwa ni kubwa sana, dada zetu siku hizi kila ukisikia kajifungua basi unakuta ni mtoto wa kike!
Katika family level tuko watoto 6 kila mtu ana watoto 2 lakini wote wa kike, washikaji wife kajifungua unasikia ni mtoto wa kike.
Sasa unajiuliza watoto wa kiume hawazaliwi siku hizi, je rate vs wa kike ikoje?