Kwanini idadi ya watoto wa kike kuzaliwa ni kubwa sana?

Kwanini idadi ya watoto wa kike kuzaliwa ni kubwa sana?

bona

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2009
Posts
3,798
Reaction score
1,440
Nimeona ku share ili jambo kwa observation zangu naona rate ya watoto wa kike kuzaliwa ni kubwa sana, dada zetu siku hizi kila ukisikia kajifungua basi unakuta ni mtoto wa kike!

Katika family level tuko watoto 6 kila mtu ana watoto 2 lakini wote wa kike, washikaji wife kajifungua unasikia ni mtoto wa kike.

Sasa unajiuliza watoto wa kiume hawazaliwi siku hizi, je rate vs wa kike ikoje?
 
Mbegu zinazo zalisha watoto wa kiume ni weak, na zinahitaji nguvu ya ziada kuogelea haraka na kuzi outperform zile za kike! Wana biolojia watatwambia zaidi,
Kwa sababu ya ulaji mbovu na lifestyle za wanaume wa siku hizi, matokeo nikuwa na mbegu chache za kuzalisha wanaume na zinakuwa hazina nguvu.
Mwanaume anashindia chips, akila ugali ni sembe, na vijuice vya dukani integer's nini hapo, familia iloyojaa watoto wa kiume fuatilia ulaji wa baba utaona ukweli wa nisemayo.
Wanaume tubadirike
 
Hii jambo lina ukweli kiasi fulani nadhani wataalamu wa afya ya bianadamu wanaweza kuja na maelezo ya kina nasubiri darsa.
 
Nimeona ku share ili jambo kwa observation zangu naona rate ya watoto wa kike kuzaliwa ni kubwa sana, dada zetu cku izi kila ukickia kajifungua basi unakuta ni mtoto wa kike!

ktk family level tuko watoto 6 kila mtu ana watoto 2 lakin wote wa kike, washkaj wife kajinfungua unackia ni mtoto wa kike sasa unajiuliza watoto wa kiume hawazaliwi ckui izi je rate vs wa kike ikoje?

Ni kwa watu wanaokuzunguka ila kwa wengine ni tofauti kama mimi kwetu mtt wankike kuzaliwa ni nadra sana na wanaonizunguka wengi wana madume tu hakuna majike may be vyakula na lifestyle zinachangia. Mpk sasa tunahamu na wajukuu wa kike.
 
Kuna mahali niliwahisoma eti.

Mbegu za kuzalisha mtoto wa kiume zinakimbia au zinawahi sana lakini pia zinakufa haraka ukilinganisha na mbegu za mtoto wa kike zinakwenda taratibu lakini zinaweza kuishi muda mrefu bila kufa na hivyo kuweka uwezekano wa kupata mtoto wa kike kuwa mkubwa kuliko mtoto wa kiume.

Mbegu zinazo zalisha watoto wa kiume ni weak, na zinahitaji nguvu ya ziada kuogelea haraka na kuzi outperform zile za kike! Wana biolojia watatwambia zaidi,
Kwa sababu ya ulaji mbovu na lifestyle za wanaume wa siku hizi, matokeo nikuwa na mbegu chache za kuzalisha wanaume na zinakuwa hazina nguvu.
Mwanaume anashindia chips, akila ugali ni sembe, na vijuice vya dukani integer's nini hapo, familia iloyojaa watoto wa kiume fuatilia ulaji wa baba utaona ukweli wa nisemayo.
Wanaume tubadirike
 
Kwasababu mliowaambia watoe mimba watoto walikuwa wa kiume. Nadhani balance inaweza kurudi iwapo mimba zote zitafika full term watoto wazaliwe.
 
Wala huhitaji kufanya utafiti, kama ulipitapita shule kidogo utajua sababu yake na wengine hapo juu wamesaidia kutoa majibu ya kitalaamu na ishu sio lifestyle.
 
Wala huhitaji kufanya utafiti, kama ulipitapita shule kidogo utajua sababu yake na wengine hapo juu wamesaidia kutoa majibu ya kitalaamu na ishu sio lifestyle.

sababu za kibaolojia sawa lakini nimeongelea kama trend imekua severe zaid wewe jaribu kuchek kwa washkaj zako, kaka zako, dada zako, member wengine labda ktk ma grp ya whatsup, kazini kila ukickia habari ya mtoto kuzaliwa most zinakua ni mtoto wa kike!
 
Wala huhitaji kufanya utafiti, kama ulipitapita shule kidogo utajua sababu yake na wengine hapo juu wamesaidia kutoa majibu ya kitalaamu na ishu sio lifestyle.

Mkuu tupe darasa
 
Ulevi, uchovu kitandani na ujinga juu sayansi ya viungo vyetu vya uzazi ni sababu kubwa.
 
for man: when u ejaculate, make sure u insert deeply the penis into vagina. itasaidie kuipa nguvu ile mbegu inayobeba jinsia ya kiume kuweza kulifikia yai mapema kwa maana mbegu ya kiume inakuwa na spidi kali kuelekea yai lilipo (mbegu ina spidi kali lakini inawah kufa wakati ile ya kike inakwenda slowly lakin inadumu kwa mda mrefu).
for woman: danger period wakati unakaribia kuingia ktk siku zako (it means yai likiwa lmesogea) unaweza kukutana na mwenza wako na ukabahatika kupata mtoto wa kiume.
caution: watu weng hushndwa kujicontrol ktk first ejaculation na hii ndio inayosababisha kuleta watoto wa kiume. kwa maana unatumia dakika chache kufika pia weng wanakuwa hawako makin sana (maandalizi duni)
mwanaume anatakiwa kuwa na nguvu, kula vizur, fanya mazoezi n.k (mtoto wa kiume hapatikani kwa lelemama otherwise utaishia kupata watoto wa kike mpaka kifo chako).
nilikuwa najaribu tu, simu yangu ndogo nashndwa kuandika comfortably
 
Tutaanza kuoa zaid ya wawil ili kuhakikisha tunawapa wote haki ya kuolewa
 
mi na washkaji zangu wotre watoto wetu wa kiume...wengine wa kike so inategemea...tu
 
Back
Top Bottom