Mada zangu zina kawaida ya kuwa mbele ya muda. Ukija kibishibishi muda utakuumbua.
Kuna siku nilihoji uhalali wa kusema ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora Africa, wengi wakanibishia bila chanzo cha kuaminika cha hiyo ranking. Matokeo yake sasa hivi, kila mtu, kuanzia mashabiki, wachambuzi hadi makocha wanahoji pia.
Dunia nzima, derby inaitwa jina la sehemu ambapo timu mbili husika zipo eneo hilo. Sihitaji kukupa mifano, itafute au ulizia utaambiwa derby zote duniani.
Kuna hii derby inayohusisha vilabu vikongwe vya Simba na Yanga. Derby hii imebatizwa jina la Kariakoo Derby.
Ukiangalia katika muundo wa kiserikali na kiutawala, makao makuu ya Yanga pale Jangwani hayapo katika kata ya Kariakoo. Ni Simba pekee iliyo katika kata hiyo. Yanga ipo ama kata ya Jangwani au ya Mchafukoge.
Ushauri wangu, tubadili jina la hii derby ya Simba na Yanga iitwe Dar es Salaam Derby. Mbona jina zuri tu.
Kwa nini tuibrand Kariakoo, eneo ambalo pamoja na umuhimu wake kibiashara halina mvuto wowote kwa watalii. Tuibrand Dar es Salaam tutafaidika zaidi na pia tutaepuka upotoshaji wa maksudi.
Your browser is not able to display this video.
Katika clip hii hapo juu ni mkazi wa Jangwani na Mchafukoge akiadabishwa baada ya kuleta ujuaji maeneo ya Kariakoo.
Jangwani ni Kariakoo ndugu acha ubishi
Majina Mara nyingi hayatawaliwi sana na mipaka ya kijiografia, utendaji wa kiserekali ndio unazingatia hayo mambo ataivyo Mara nyingine wajumbe wa nyumba kumi, huduma za ofisi za serikali ya mitaa uhudumia watu kulingana na upatikanaji wao
ndio maana ukipiga simu huduma kwa wateja mitandao ya simu japo wanaona unahudumiwa na mnara gani lazima wakuulize upo wapi Ili wajue exact location.
Kusema ukweli Uzi huu hsuusiani na mambo ya michezo.
Wazo lako ni JINSI MAJINA YA MAENEO YANAVYO ATHIRI UHALISIA WA ENEO HUSIKA LA TUKIO,
Mfano makabila mengine yalalamike kusema kwamba WACHAGA ni kabila la kaskazini au wamakonde wanatokea Lindi na Mtwara, japo yapo makabila mengi lakini hayo no wawakilishi.
Japo Mchezo wa soka unahitaji mahesabu lakini hesabu za kukadiria zinafaa zaidi.
Jina la kkoo dabi LISIBADILISHWE

Dar es salaam Derby ndio mzizima derby kama sijakosea,hii ni derby baina ya Makoro na Azam,ni sahihi tu Simba Vs Yanga kuitwa Kariakoo Derby,kijiografia Makao Makuu ya timu hizi yapo jirani sana,Simba wakiwa mitaa ya Msimbazi na Yanga wakiwa mitaa ya Twiga/Jangwani,kuhusu mipaka ya kijiografiaau kiutawala km ipo pia sioni sababu za derby hiyo kubadilishwa jina....
Mada zangu zina kawaida ya kuwa mbele ya muda. Ukija kibishibishi muda utakuumbua.
Kuna siku nilihoji uhalali wa kusema ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora Africa, wengi wakanibishia bila chanzo cha kuaminika cha hiyo ranking. Matokeo yake sasa hivi, kila mtu, kuanzia mashabiki, wachambuzi hadi makocha wanahoji pia.
Dunia nzima, derby inaitwa jina la sehemu ambapo timu mbili husika zipo eneo hilo. Sihitaji kukupa mifano, itafute au ulizia utaambiwa derby zote duniani.
Kuna hii derby inayohusisha vilabu vikongwe vya Simba na Yanga. Derby hii imebatizwa jina la Kariakoo Derby.
Ukiangalia katika muundo wa kiserikali na kiutawala, makao makuu ya Yanga pale Jangwani hayapo katika kata ya Kariakoo. Ni Simba pekee iliyo katika kata hiyo. Yanga ipo ama kata ya Jangwani au ya Mchafukoge.
Ushauri wangu, tubadili jina la hii derby ya Simba na Yanga iitwe Dar es Salaam Derby. Mbona jina zuri tu.
Kwa nini tuibrand Kariakoo, eneo ambalo pamoja na umuhimu wake kibiashara halina mvuto wowote kwa watalii. Tuibrand Dar es Salaam tutafaidika zaidi na pia tutaepuka upotoshaji wa maksudi.
View attachment 3257664
Katika clip hii hapo juu ni mkazi wa Jangwani na Mchafukoge akiadabishwa baada ya kuleta ujuaji maeneo ya Kariakoo.
Kariakoo ni kata au mtaa?? Kama ni kata,mitaa ya Msimbazi na Jangwani inapaswa kuwa kata gani?? Kwa ujumla wake kariakoo inaundwa na mitaa kadhaa. Msimbazi na Jangwani ni sehemu ya Kariakoo.

hayo mambo ya Kata, Mitaa hutegemea na Taasisi fulani inavyoamua. Local Government wana mipaka yao kulingana na tratibu zao. leo hiyo inayoitwa kata ya Kariakoo inaweza kugawanywa zikawa kata tatu au nne, je hiyo itaondoa uhalisia kuwa Simba au Yanga iko Kariakoo?
1. polisi wana maeneo yao ya utawala pengine yasifanane na ya Local Government. Mkoa wa Kipolisi wa Tarime - Rorya. je Tarime na Rorya haziko mkoa wa Mara?
2. TRA wana mipaka yao, DAWASA na taasisi nyingine kibao
Tuwe tunawaza kwa kina kabla ya kutoa hoja