Kwanini iitwe Kariakoo Derby wakati ni timu ya Simba SC pekee iliyo Kariakoo?

Kwanini iitwe Kariakoo Derby wakati ni timu ya Simba SC pekee iliyo Kariakoo?

Kariakoo haina hadhi ya kupewa Derby ya simba na Yanga. Derby ya simba na Yanga ni Dar es salaam Derby

Hiyo ya kariakoo ni waandishi makanjanja tu waliibatiza

Kuhusu azam . Simba na Azam Derby yake imekaa kimchongo tu hakuna Utani wa jadi kati ya Simba na Azam labda sehemu moja ya msingi iwe ni uwepo wa Mo Simba na Bakresa Azam.
 
Takataka kama takataka nyingine!!
 
Hahahah. Hiko kinywaji unachopiga hapo baa hakitakuacha salama. Embu kipe break, nenda ukale kwanza.
Nikikuuliza unajua mtaa wa Kariakoo upo wapi unaweza kunijibu na upo umbali gani kutoka Msimbazi na Lumumba.
 
Hayo ni maneno tuu ya kuupa uhai mchezo husika
 
Back
Top Bottom