Kariakoo haina hadhi ya kupewa Derby ya simba na Yanga. Derby ya simba na Yanga ni Dar es salaam Derby
Hiyo ya kariakoo ni waandishi makanjanja tu waliibatiza
Kuhusu azam . Simba na Azam Derby yake imekaa kimchongo tu hakuna Utani wa jadi kati ya Simba na Azam labda sehemu moja ya msingi iwe ni uwepo wa Mo Simba na Bakresa Azam.