ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ziwa lipiMi mwenyewe nimetulia hapa karibia na ziwa napooza mwili nasina mia mbovu.
Ngoja sisi wa mbagala chamazi tusome comment πKwa watu wa dar maeneo ya posta kariakoo na mbagala hiki kitu hamuwezi kuki experience Ila huku mikoani hata kama hamna jua ila mida hiyo yaani mwili unachoka tu unatulia hata kuku wanatafuta sehemu wanakaa wanatulia mno na ndo maana hata playlists kwenye radio nyingi utakuta nyimbo zaidi za slow slow ukikaa vibaya unasinzia nimechunguza sababu sio njaa wala jua ipo tu naturally.
Na wa kigamboni ,chanika ,mbande tupo pia π€£πNgoja sisi wa mbagala chamazi tusome comment π
HΓ ahaa jirani zangu mbande/kiseweNa wa kigamboni ,chanika ,mbande tupo pia π€£π
Ngoma inaanzia chamazi.HΓ ahaa jirani zangu mbande/kisewe
Naam Kabisa na hadi chanika mikumi hapo usiku kama mchana ile club π€£ππNgoma inaanzia chamazi.
Kwa mkongo, mikumi, bamia, baresa, kiponza, songos, kwa tinyango mbande, kisewe mpka msongla
Yeah karibu na chanika hukoo ukiingia kidogo ndani ndani unajikuta kigamboniHΓ ahaa jirani zangu mbande/kisewe
Mikumi hapa kuna nyingine ipo kwa nyuma kushoto inaitwa galimbo sijui...Naam Kabisa na hadi chanika mikumi hapo usiku kama mchana ile club π€£ππ
Napaelewa hapo full uroda usiku kama mchana watoto wakali kama woteeeMikumi hapa kuna nyingine ipo kwa nyuma kushoto inaitwa galimbo sijui...
Oyaa weeeh so poa
Wewe acha zako... Mitaa hii ulikua unaenda wap weweππππNapaelewa hapo full uroda usiku kama mchana watoto wakali kama woteee
Kaka nilitoka kigamboni kulikuwa na party ya msanii mmoja Hivi nili alikwa na meneja wa mikumi palee aisee pale ile mitaaa full balaaa yaani ππ Kuna bonge kimoja hivi limejazia sana nililimwagia sana mapesa palee πππWewe acha zako... Mitaa hii ulikua unaenda wap weweππππ
Basi kaka ile ndo mitaa yetu...Kaka nilitoka kigamboni kulikuwa na party ya msanii mmoja Hivi nili alikwa na meneja wa mikumi palee aisee pale ile mitaaa full balaaa yaani ππ Kuna bonge kimoja hivi limejazia sana nililimwagia sana mapesa palee πππ