Kwanini ikifika saa 7 mchana wanyama wanatulia sana

Kwanini ikifika saa 7 mchana wanyama wanatulia sana

Kwa mujibu wa wanazuoni Majini yanakuwa yameenda kuswali
 
Huku Dodoma kuna vi-mawingu mawingu vya uzushi toka juzi....bora mvua inyeshe tu na huvi jioni kuna baridi, inyeshe tukumbatiane.
Niko hapa Waswano Pub nakula muwa ili nipate stimu ya 'kukazana'
Duuh!!Umenidindisha kinyoko Madam,,ngoja nami nimalizie kuvuta jani korofi nijisogeze rainbow hapo nikachape k-vant kubwa na kitimoto ndizi choma!!
 
Kaka nilitoka kigamboni kulikuwa na party ya msanii mmoja Hivi nili alikwa na meneja wa mikumi palee aisee pale ile mitaaa full balaaa yaani 😂😁 Kuna bonge kimoja hivi limejazia sana nililimwagia sana mapesa palee 😂😁😁
Mbona nyie mnavimba ndani tu humu... Lakini mkiombwa kupiga wenzenu tough mnakausha!!!! Au ndo kila mtu apambane na hali yake🙂🙂🙂
 
Kwa watu wa Dar maeneo ya Posta Kariakoo na Mbagala hiki kitu hamuwezi kuki experience Ila huku mikoani hata kama hamna jua ila mida hiyo yaani mwili unachoka tu unatulia hata kuku wanatafuta sehemu wanakaa wanatulia mno na ndo maana hata playlists kwenye radio nyingi utakuta nyimbo zaidi za slow slow ukikaa vibaya unasinzia nimechunguza sababu sio njaa wala jua ipo tu naturally.
Njaaa
Muda huo njaa inapiga mpaka kichwa kinakuwa kizito.
 
Back
Top Bottom