Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Aisee! Hata abdala kichwa wazi unakuta katulia kwenye kibanda chakeHata police traffic mida hio wanakua wapole sana unakuta wametulia kwenye vibanda vyao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee! Hata abdala kichwa wazi unakuta katulia kwenye kibanda chakeHata police traffic mida hio wanakua wapole sana unakuta wametulia kwenye vibanda vyao
PoaUfanye kweli madam ... Ila pia iwe Weeknd.....
😂😂😂😂😂
Duuuh kwa kweli...Poa
Tukitoka hapo tunaenda La Liga au Bambalaga
Haya bhanaDuuuh kwa kweli...
😂😂😂 Ushanipoteza
Bambalaga 😂😂😂😂😂😂😂Haya bhana
Kwanini jamani ...Bambalaga 😂😂😂😂😂😂😂
Astakafillah wee madam wewe khaaaaaaaaa...
Hakuna kitu 😂😂😂😂😂😂Kwanini jamani ...
Haya bhanaHakuna kitu 😂😂😂😂😂😂
Ila daaah hatareeee na nusu
Duuh!!Umenidindisha kinyoko Madam,,ngoja nami nimalizie kuvuta jani korofi nijisogeze rainbow hapo nikachape k-vant kubwa na kitimoto ndizi choma!!Huku Dodoma kuna vi-mawingu mawingu vya uzushi toka juzi....bora mvua inyeshe tu na huvi jioni kuna baridi, inyeshe tukumbatiane.
Niko hapa Waswano Pub nakula muwa ili nipate stimu ya 'kukazana'
Nzuri hiyoHaya bhana
Vyumba vya Logde ya mikumi vinanuka mavi raia wakishalewa wanafumuliwa marinda mpaka wanakunyaMikumi hapa kuna nyingine ipo kwa nyuma kushoto inaitwa galimbo sijui...
Oyaa weeeh so poa
Mbona nyie mnavimba ndani tu humu... Lakini mkiombwa kupiga wenzenu tough mnakausha!!!! Au ndo kila mtu apambane na hali yake🙂🙂🙂Kaka nilitoka kigamboni kulikuwa na party ya msanii mmoja Hivi nili alikwa na meneja wa mikumi palee aisee pale ile mitaaa full balaaa yaani 😂😁 Kuna bonge kimoja hivi limejazia sana nililimwagia sana mapesa palee 😂😁😁
Ulikuwa umechil ziwa gani mkuu?Mi mwenyewe nimetulia hapa karibia na ziwa napooza mwili nasina mia mbovu.
Mmmmh mkuu ni mikumi ya huku chamazi hiyo lakini au unasemeq mikumi ipi 😂😂😂😂😂Vyumba vya Logde ya mikumi vinanuka mavi raia wakishalewa wanafumuliwa marinda mpaka wanakunya
NjaaaKwa watu wa Dar maeneo ya Posta Kariakoo na Mbagala hiki kitu hamuwezi kuki experience Ila huku mikoani hata kama hamna jua ila mida hiyo yaani mwili unachoka tu unatulia hata kuku wanatafuta sehemu wanakaa wanatulia mno na ndo maana hata playlists kwenye radio nyingi utakuta nyimbo zaidi za slow slow ukikaa vibaya unasinzia nimechunguza sababu sio njaa wala jua ipo tu naturally.
Karibu kwa mkongo mkuu😎Mikumi hapa kuna nyingine ipo kwa nyuma kushoto inaitwa galimbo sijui...
Oyaa weeeh so poa