Kwanini ikifika saa 7 mchana wanyama wanatulia sana

Kwanini ikifika saa 7 mchana wanyama wanatulia sana

Hapa nmeamka sio muda na nmetulia naskiza radio 📻 huku kusoma soma threads huku JF.. Sema playlist ya DJ ya leo mchana huu sijaielewa, nyimbo zake ni za kubang wakati ni mchana jua kali!
 
Hata police traffic mida hio wanakua wapole sana unakuta wametulia kwenye vibanda vyao
Trafiki hovyo kabisa mida hiyo wanabadilishana shift wanawaza maokoto na kubambika makosa Kisha kurusha kwenye TMS.

Juzi walinipiga cheti eneo la Ngomeni Tanga kosa la kutembea 55kph badala ya 50kp imeniuma sana hela ya kula wanangu.
 
Mida ya Kumuomba Mungu hiyo.
Swala kwa wenzetu waislam na Wakristu pia.
 
Kwa watu wa dar maeneo ya posta kariakoo na mbagala hiki kitu hamuwezi kuki experience...

Vipi na huku Dodoma ? 🙌🙌🙌🙌
Mana kwa jua hili lazima mtulie tuu hata miti inapoa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huku Dodoma kuna vi-mawingu mawingu vya uzushi toka juzi....bora mvua inyeshe tu na huvi jioni kuna baridi, inyeshe tukumbatiane.
Niko hapa Waswano Pub nakula muwa ili nipate stimu ya 'kukazana'
 
Huku Dodoma kuna vi-mawingu mawingu vya uzushi toka juzi....bora mvua inyeshe tu na huvi jioni kuna baridi, inyeshe tukumbatiane.
Niko hapa Waswano Pub nakula muwa ili nipate stimu ya 'kukazana'
😂😂😂😂😂 Natoka chama huku madam, Naingia Dom kule....

Ila huku chama si kwa jua hili aiseeee
 
Back
Top Bottom