Kwanini ikifika saa 7 mchana wanyama wanatulia sana

Hapa nmeamka sio muda na nmetulia naskiza radio πŸ“» huku kusoma soma threads huku JF.. Sema playlist ya DJ ya leo mchana huu sijaielewa, nyimbo zake ni za kubang wakati ni mchana jua kali!
 
Hata police traffic mida hio wanakua wapole sana unakuta wametulia kwenye vibanda vyao
Trafiki hovyo kabisa mida hiyo wanabadilishana shift wanawaza maokoto na kubambika makosa Kisha kurusha kwenye TMS.

Juzi walinipiga cheti eneo la Ngomeni Tanga kosa la kutembea 55kph badala ya 50kp imeniuma sana hela ya kula wanangu.
 
Mida ya Kumuomba Mungu hiyo.
Swala kwa wenzetu waislam na Wakristu pia.
 
Huku Dodoma kuna vi-mawingu mawingu vya uzushi toka juzi....bora mvua inyeshe tu na huvi jioni kuna baridi, inyeshe tukumbatiane.
Niko hapa Waswano Pub nakula muwa ili nipate stimu ya 'kukazana'
 
Huku Dodoma kuna vi-mawingu mawingu vya uzushi toka juzi....bora mvua inyeshe tu na huvi jioni kuna baridi, inyeshe tukumbatiane.
Niko hapa Waswano Pub nakula muwa ili nipate stimu ya 'kukazana'
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Natoka chama huku madam, Naingia Dom kule....

Ila huku chama si kwa jua hili aiseeee
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Natoka chama huku madam, Naingia Dom kule....

Ila huku chama si kwa jua hili aiseeee
Huku tunapeta tu mazee.
Karibu sana Dodoma arifu.
Huku hali ya hewa ni tulivu kiasi
 
Huku tunapeta tu mazee.
Karibu sana Dodoma arifu.
Huku hali ya hewa ni tulivu kiasi
Wee madam kweli ndo wakunikaribisha dom kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wee madam kweli ndo wakunikaribisha dom kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio
Na kila kitu juu yanguπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Usiogope bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…